Habari wakuu,
Natumai wote ni wazima. Nimepanga kuanzisha biashara ya kuuza nguo (hasa T-shirts za kiume na kike - Grade 1 A). Lengo langu ni kuanzisha duka lenye muonekano wa kisasa na bidhaa...
Habarin wanaJF .Mimi ni mtumishi wa umma katika mkoa wa mwanza vijijini nje na ajira nimekuwa nikifanya biashara ya mpunga Kwa kukusanya nakuweka stoo ukipanda bei nakoboa nauza, ambayo ukikusanya...
Watumiaji wa Mtandao wa YAS (tigo) mnaohitaji UNLIMITED INTERNET au vifurushi vya POSTPAID niwaunganishe BURE kabisa nyie kazi yenu ni kulipia BILL mwisho wa mwezi, Sikudai hata mia zaidi we...
Wakuu kwema?
Nilikua naomba mwenye kujua njia ya kuwatumia wateja wanao nizunguka sms hata bila ya kuwa na namba zao wote.
Yani wateja walio karibu na biashara yangu tu ndio wapate meseji ya...
Ni kweli "Bidhaa hii ni bora......Ina ubora wa hali ya juu..... ina sifa hizi hapa...." Lakini inamsaidiaje mteja wako?
Imekuwa trend ya Wafanyabiashara wengi mtandaoni siku hizi wakitengeneza...
Njia rahisi za Kuomba Leseni ya Biashara Tanzania
Je, unataka kuendesha biashara halali Tanzania? Kupata leseni ya biashara ni hatua ya lazima na sasa mchakato ni rahisi kuliko unavyofikiri. Fuata...
Kabla ya kuomba leseni ya biashara, ni muhimu kujua upo kwenye kundi gani. Kila aina ya biashara ina leseni yake kulingana na ukubwa wa mtaji na huduma inayotolewa. Hii ndiyo njia ya kuhakikisha...
Kwa wale wanaotaka kununua zao la KAHAWA ya Maganda, muda ni sasa. Kipimo ni Dumla Kwa Sh. 4,000/=
Dumla inatoa kilo moja mpaka kilo mmss..wm,oja na robo ikiwa Kavu. Bei ya kilo Kwa kahawa Kavu...
Habari wana JamiiForums, kwa bahati mbaya au nzuri, mambo mengi ambayo naandika au natamani kushare humu yashaongelewa tayari , na hata hii kitu ambayo naandika saa hivi. Freelancing.
Though...
**"Karibu kwenye fursa ya kipekee ya uwekezaji! Uwekezaji katika cocoa, korosho, iliki, na mbaazi ni njia bora ya kujenga mali yako. Pata faida ya hadi 15% kwa mwezi kwa kuwekeza katika sekta hii...
Mambo ya Kuzingatia Ili Kupata Leseni ya Biashara ya saloon
Ikiwa unatoa huduma za saloon ya kike au ya kiume, kupata leseni ya biashara ni wajibu kisheria. Leseni hii ndiyo kibali rasmi...
Juice Dispenser........mitungi mitatu 850,000
Kabati mbili zote...............................................180,000
meza mbili na viti vyake zinasocket za kuchajia 150,000
meza moja ndefu...
Maswali na majibu kuhusu Leseni ya biashara
1. Leseni ya biashara ni nini?
Leseni ya biashara ni kibali cha kufanya biashara kinachotolewa na mamlaka husika kwa mujibu wa Sheria ya Leseni ya...
Rangi za Gel
Rangi za kawaida
Mashine ya kucha miguu miwili
Benchi la kupakia rangi
Benchi la kukaa watu wa 4 mpk 5.
Mkebe wa vifaa vya kucha, misasa, kucha n.k
Feni ya juu (pangaboi)...
Habarini Wakuu.
Naomba kujuzwa uchanganuzi mzima wa kuanzisha kiwanda kidogo cha mifuko hii ya 'twende sokoni ' au kwa jina jingine maarufu mifuko ya 'connection'
Faida yake ,mashine...
1. Pata TIN Number kutoka TRA
Hatua ya kwanza ni kuhakikisha unayo Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hii ndiyo nyaraka ya msingi inayothibitisha...
Kuanza duka la dawa muhimu (local pharmacy) kunahitaji kufuata taratibu maalum za kisheria ili kulinda afya ya wananchi na kuhakikisha bidhaa unazouza zina ubora unaokubalika.
Leseni ya biashara...
Habari za asubuhi ndugu wanajamii naomba kuuliza kwa wataalamu wa bei elekezi pale mitaa ya karume viatu vizuri kwa ajili ya mpira wa miguu bei yake ya kuuza ni shingapi
Msaada wa kufahamishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.