Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwanini ni Muhimu kufanya Biashara kama kampuni? kwa nini usajili wa kampuni ni hatua muhimu kwa mfanyabiashara anayetaka kuongeza uaminifu, kupata fursa kubwa za mikataba na tenda, kuvutia...
1 Reactions
1 Replies
530 Views
Jamani hii nilishaipost narudia tena sasahivi kwa kuweka gharama yake maana naona watu wengi walikuwa wanaongelea pesa ambazo sijaziandika, HIYO SET KWENYE PICHA NI STAND YA TV INA NA COFFEE TABLE...
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Wakuu, Naomba mnisaidie au mawazo yenu pia, nilikuwa na lengo la kwa muda sasa la kununua pikipiki aina ya Sanlg kwa sababu ya shughuli zangu na sababu za kupoint SANLG ni kampuni inayotoa...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Kabla Albert Einstein Hajafariki mwaka 1955 Aliwahi kusema Moja ya Maajabu Nane ya Dunia (8th Wonders Of the World) ni "Compound Interest" Najua litakuwa SIO Neno geni kwako ila tu labda hufahamu...
27 Reactions
45 Replies
4K Views
Tushukuru Kwa kudra za Mwenyezi Mungu tupo salama na tunaendelea kuelimishana, kufurahishana na kujuzana mengi katika ukurasa huu wa JamiiForums. Karibu saana, leo tutakuwa na interview kwa...
46 Reactions
1K Replies
242K Views
Watu wanao anza kufanya biashara kuna maneno wanakutana nayo utakuta mtu anomba ushauri vizuri ana million zake 20 mtu ana shauri tumia million 10 kumi iweke kwanza, au una million 5 utaskia...
7 Reactions
14 Replies
931 Views
Salamu, kwa wanajukwaa Kwa mwenye kufahamu bei ya beef fillet mahali popote nafika, msaada tafadhali.
0 Reactions
10 Replies
755 Views
Kwanini Kenyan shilling ina thamani kubwa Zaidi ya shilingi ya tanzania?
1 Reactions
0 Replies
239 Views
#plotsforsale KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA UKUBWA WA KIWANJA NI 4,000SQM NI KIWANNA CHA KWANZA KUTOKA BARABARA YA LAMI (Bahari Beach) RAMANI YA MUUZAJI ULIKUWA NI KUJENGA APARTMENTS,KWAHYO...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Habari wanajamvi! Mimi nauza mafuta ya alizeti kutoka mkoani singida popote yanafika bei ya Lita ni shillingi elf 6 na punguzo lipo mtu akichkua Mengi Asante
0 Reactions
4 Replies
420 Views
#shambalinauzwa Shamba la Ekari 4,670 linauzwa Pangani, Tanga Distance Kutoka Kivukoni cha Pangani (ferry) hadi shamba ni km 14 -Shamba lilikuwa linalimwa Mkonge -Plot size Ekari 4,670...
1 Reactions
1 Replies
402 Views
Habari wakuu? Je kuna wadau wapenzi wa kahawa nzuri na fresh humu?upo tayari kulipia bei gani kwa premium fresh coffee ambayo imeroastiwa si zaidi ya 48 hours.? Tembelea website yangu kuona...
6 Reactions
21 Replies
999 Views
Hello, guys. Tunacho kiwanda kidogo kinachozalisha mafuta yatokanayo na mbegu za michikichi ziitwazo mbosa/mise. Katika uzalishaji huu tunapata pia mashudu. Mashudu (palm kernel cakes - PKC)...
1 Reactions
0 Replies
314 Views
Je unahitaji programu ya kompyuta (Windows OS 7,8,10,11) ya kutunza kumbukumbu ya bidhaa, wateja na kazi zingine za kumbukumbu. Gharama ya programu hii ni 250,000 Tsh. Unalipia mara moja tu...
0 Reactions
2 Replies
312 Views
Aisee, leo dollar imeanguka ghafla kwa yeyote ambaye alikuwa ana trade pair yoyote yenye dollar iwe gold, au currency kama alicheza vizuri atakuwa amekula profit kinoma. Sijui ni tarriff za bwana...
0 Reactions
10 Replies
768 Views
Tanzania ya Samia inazidi kupata Neema Kila siku na hivi punde ni habari za kugundulika kwa Gesi asilia eneo la Ruvu-Kibaha Mkoa wa Pwani. Ugunduzi umefanywa na kampuni ya Wazawa ya Dodsol...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Mfumo wa SHARED DUKA ENTERPRISES PORTAL ni suluhisho kamili la biashara yako: 1. Mauzo & Manunuzi 2. Hisa & Uhamisho 3. Ripoti & Risiti 4. Wateja & Wasambazaji 5. Watumiaji na Ruhusa 6. Web-based...
0 Reactions
3 Replies
611 Views
Wakuu habari. Kama kichwa Cha habari hapo juu Mimi ni kijana ninaye jishugurisha na uuzaji wa kemikali kwa ajili ya kuchenjulia dhahabu. Napatikana Mkoa wa Mbeya wilaya ya Chunya! Najua humu Kuna...
2 Reactions
5 Replies
475 Views
Je, ni aina gani ya marketing ni rahisi zaidi kufanyika na kupenya sokoni hasa kwa bidhaa za vinywaji? Door to door Social media marketing Influencers marketing Naomba uzoefu wako kama mtaalam...
0 Reactions
7 Replies
568 Views
Back
Top Bottom