Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naomba kujua idadi ya smart gin, double kick, konyagi (ndogo,kati na kubwa) kwa box, K vant nk . Idadi na bei kwa jumla na rejareja.
1 Reactions
8 Replies
900 Views
Leo ni tarehe 20 August ni siku ya ku file Value Added Tax (VAT) Value Added Tax hutakiwa kua filled kila tarehe 20 ya mwezi kwa Kampuni au biashara ambazo zipo eligible kulipa VAT. This is...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
KARIBUNI SANA VUNJABEIMTUMBAGRADE1 WAUZAJI WA BALO ZA MTUMBA GRADE 1 KUTOKA CHINA UK CANADA'S DUBAI WHATAPP GROUP LETU UJIFUNZE ZAIDI VUNJABEI 🔥BALO ZA MTUMBAGRADE 1 Mawasiliano 0657710078...
1 Reactions
7 Replies
589 Views
Kwa wale wenye uhitaji WA tin certificate, vyeti vya kuzaliwa na lessen za biashara nakutengenezea Kwa bei nafuu Sana ...nichek 0761808489 Kwa wasap au normal SMS... Huduma NI uhakika
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Napenda kuomba muongozo kwa wanaofanya biashara ya kusafirisha mazao nje ya nchi ya Tanzania. Yeyote mwenye ku-share knowledge
0 Reactions
1 Replies
355 Views
Nawasalim kwa jina la jmt Kuna watu wanafanya biashara ya hivi viatu, mikoani, daresalaam, visiwani. Hivi viatu unavipata kwa mchina flani hivi anapatikana Narun'gombe na na Msimbazi pale...
6 Reactions
51 Replies
3K Views
"Katika dunia ya sasa, kila kitu kinapaswa kuwa karibu nawe kwa urahisi. Ndiyo maana Bishoo Tanzania inakuletea soko la kidigitali lililotengenezwa kwa ajili yako. Unataka kuuza bidhaa zako...
1 Reactions
0 Replies
253 Views
Tukutane hapa wafanyabiashara ya viungo Tupeane machimbo sehemu yenye iliki nyingi kwa sasa
1 Reactions
1 Replies
213 Views
Eneo lipo nyuma ya kiwanda cha Lake steel misugusugu.. limechimbwa mchanga Ni Zuri Kwa ufugaji.. au kulisawazisha Na kuweza kukata viwanja.. karibun
0 Reactions
6 Replies
566 Views
Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi: 1. Vipimo: 500-600 sqm 2. Location:Goba au Madale 3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji 4. Documents ziwe clean na zimekamilika Offer yangu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Katika kipindi ambacho baadhi ya mitandao kama Twitter na Telegram hupata vikwazo vya upatikanaji nchini Tanzania, kutumia VPN (Virtual Private Network) ni suluhisho la haraka, rahisi na salama...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
🔁 Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) — faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda. 📍 Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio. 1️⃣ Gawio ni...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
🔥🔥🔥🔥OFFER OFFER OFFER🔥🔥🔥🔥 ‎ ‎ NOKIA 106 New ‎Jumla:Tsh18,000kuanzia pc10 ‎Rejareja:Tsh24,000/= ‎Brand: new ‎Batter: 1000mAh ‎Laini mbili ‎ ‎ NOKIA 105(2023)...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Habari natumaini wakongwe mko vizuri Nina mpango wa kuanzisha kampuni ya usafirishaji nikiwa na mpango wa kusafirisha mizigo kutoka nchini kwenda nchi jirani kwa maana DRC, Zambia, Burundi...
26 Reactions
136 Replies
19K Views
Exness Broker Review for Tanzanian Traders (2025) Overall Rating: ★★★★☆ (4.6/5) Best For: Forex traders looking for low spreads, fast execution, and easy funding options. ✅ Why Exness is a Good...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
🎮 Ulishawahi kufikiria kuanza biashara ya kuchezesha game (PlayStation)? Kile kinachoonekana kama “burudani ya kawaida” kimekuwa fursa kubwa ya biashara inayoweza kukuletea faida kila siku. Siri...
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Kuna wakati unafika unataka kubadili Jina la Biashara, kwa sababu zozote zile. Hizi ni hatua za kufuata kama unataka kubadili Jina la Biashara 1. Log in kwenye account yako ya Brela ORS Ile...
0 Reactions
0 Replies
532 Views
Habari wanajamvi...nimewaleta page ya viatu vya kikee grade 1 kabisaa mtumbaa,bei zetu ni safi kabisa @25000,viatu havina kipengelee tajirii....labda ujenacho wewe.
4 Reactions
16 Replies
862 Views
Wadau hivi mtu akiwa na hisa hizi ambazo tulikuwa tunauziwa kwenye makampuni kipindi cha Mkapa anaweza kuziuza kwenye soko la Hisa? Utaratibu unakuwaje? Naomba msaada kwa anatejua utaratibu!
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari, Suala la usafiri, iwe ni usafiri wa kibiashara au usafiri binafsi ni muhimu Kwa maendeleo ya Taifa na wananchi wanalitambua Hilo changamoto huja katika kumudu gharama za Kodi, bima...
10 Reactions
62 Replies
3K Views
Back
Top Bottom