Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Imeuwa control box, mil 3.5, uje uichukue, inawaka vizuri ila haitembei. 0764692275. Kimara tembon dar.
0 Reactions
8 Replies
608 Views
  • Poll Poll
Utofauti kati ya forex na betting ni upi?
3 Reactions
313 Replies
11K Views
Tunafunga CCTV camera, alarm systm, Electric Fence, Remote gates nk Tunafunga camera za ulinzi majumbani, maofisini, mashuleni, hospitali, migodini, mashambani nk. Tunaunga mifumo yote kwenye...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Ila Zambia bhana, hawa migration wa Zambia ni habari nyingine linapokuja suala la raia wa kigeni. Watz wanaofanya biashara Zambia wanaelewa muziki wa migration wa Zambia. Jamaa wanakufata mpaka...
27 Reactions
76 Replies
4K Views
Bei: 50,000 TSH ✔️ Bramu mbili (Dual Plates) — pika vyakula viwili kwa wakati mmoja! ✔️ Linafanya kazi kwa haraka na kuokoa umeme ✔️ Salama kutumia — lina thermostat ya kudhibiti joto ✔️ Muundo...
1 Reactions
3 Replies
484 Views
Bila shaka mu wazima na mnaendelea na majukumu. Moja kwa moja niende kwenye mada,naomba kufahamishwa kuhusu binance. Kwanza binance ni nini? Inafanyaje kazi? Faida zake? Hasara kama zipo...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wanajamvi.. Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu. Kwa...
8 Reactions
125 Replies
10K Views
Habari za weekend wakuu Nahitaji mkamuaji mwenye kiwanda cha mafuta ya ubuyu mkoani Dodoma Nahitaji kwa wingi sana Lakini sharti langu ni moja tu Siku ya kukamua mafuta niwepo nashuhudia...
2 Reactions
11 Replies
701 Views
🎯 Soko Lengwa kwa Kijana Unayetafuta Fursa kwa Ujuzi wa Graphics Design Je, unajua kuwa ujuzi wako wa graphics design unaweza kuwa zaidi ya kipaji ukawa chanzo cha mapato endelevu...
1 Reactions
0 Replies
309 Views
DKT. MWIGULU NCHEMBA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI OFISI YA HAZINA NDOGO KIGOMA Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea Ofisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha Mkoani Kigoma...
2 Reactions
0 Replies
351 Views
Nimepewa kazi na mwamba mmoja kumuamdalia proposal, wakuu wenye uzoefu naomba mwongozo juu ya uandaaji wa proposal ya mashirika? Kuomba fund, na projects.
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari wakuu! Naomba mtu mwenye ujuzi wa kuandika proposal or business plan anichek Kwa namba 0683263330 chap
1 Reactions
4 Replies
687 Views
Hili ni moja ya mafundisho muhimu sana niliyowahi kujifunza kwenye biashara na bahati mbaya au nzuri, nililijifunza kwa kulipa ada kwa njia ya hasara. Siku hizi niko makini kupita maelezo...
4 Reactions
13 Replies
820 Views
Kitabu Rich Dad Poor Dad cha Robert Kiyosaki kinatoa masomo kadhaa ya msingi kuhusu pesa, uwekezaji, na mtazamo. Yafuatayo ni mambo makuu kumi tunayojifunza kutokana na kitabu hicho: --- 1...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna vyuo vingi sana nimeviona vinatoa kozi ya masoko (Marketing) Kuna umuhimu wa kuajiri kwenye biashara zetu wahitimu wa vyuo waliosomea marketing (masoko) ili kuzikuza biashara zetu ?
0 Reactions
1 Replies
206 Views
Uzi huu ni maalumu kwa Vijana wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10. Ni maalumu pia kwa wanawake wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10. Utaeleza mambo yafuatayo: (1) Utaeleza vitu...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari Wakuu naombeni muongozo nahitaji kuanzisha biashara ya kuprinti tsheti na kofia na vinginevyo naombeni muongozo kuhusu mtaji na mambo yanayohitajika🙏🏻🙏🏻 na sehemu nnayoweza kuvipata ivyo...
0 Reactions
7 Replies
614 Views
Wakuu habari za usiku huu, poleni na majukumu Niende kwenye mada, mimi ni mfanya biashara mdogo mdogo ila sio mdogo sana, nina mda sasa nafanya biashara ya asali nauza Dar na Zanzibar namshukuru...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
JINSI YA KUSIMAMIA NA KUENDESHA BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI. ⚙Watu wengi wanatamani sana kufanya  Biasha hii, laikini hawajui jinsi gani wanaweza kusimamia biashara yao ili iweze Kukua...
2 Reactions
2 Replies
826 Views
Habari Tv Ya solar max double glass,(vioo viwili) inauzwa 170000 na stand yake ya ukutani INch 32 nina shida ya haraka Nipo mabibo makutano 0781 493401 nicheki hii tv ni yangu natumia hapa...
1 Reactions
13 Replies
723 Views
Back
Top Bottom