Upakuaji wa mafuta bandari ya dar!

Mwalimu

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,581
1,069
Hivi ni kwa nini mpaka sasa tunategemea Flow Meter moja tu kwa ajili ya kupakua mafuta ya petrol/diesel pamoja na mafuta ya kula?

Kwa nini wahusika wasiweke flow meter pia katika bandari zetu za Tanga na Mtwara? Kwa kufanya hivyo tutakuwa tumeokoa gharama za kusafirisha mafuta kutoka dar kwenda maeneo ya kaskazini na kusini....

Suala lingine ni kuhusu ubora: Pamoja na kuwa wanasafisha/suuza bomba kabla ya kubadilisha mafuta yanayopita lakini wanatuhakikishia vipi kuhusu ubora wa kinachopita hapo? Manake kuchanganya diesel na mafuta ya kupikia....mh!
 
Back
Top Bottom