polen na kazi wana jf,niende kwenye maada hivi ni kweli serikali yetu imeshindwa kulipa billion 80 ili tuchukue bombardier yetu,najaribu kutafakari vyanzo vyote vya uchumi
Tuanze na VAT
Vocha ya...
Nchi ina mambo ya ajabu hii!
Watu wa LAPF wanatoa fao la kujitoa, wengine akina PPF wanazuia pesa za watu. Vyombo vyote hivi viko chini ya SSRA, chombo kinachosimamia na kudhibiti mifuko hii...
Wana JF
Katika pitapita yangu nikakutana na waheshimiwa wa wakala wa ujenzi na vigae vya kuezekea nyumba. Vigae hivi ni bei nafuu na inawezekana vikawa mkombozi kwa mtanzania, kigae kimoja ni sh...
Kila mtu anajua umuhimu wa mawasiliano popote pale ulipo kuwasiliana na jamaa au ndugu kwa kikazi pia. Swala langu ni kwa nini iwe rahisi kupiga simu Kenya kutoka Uk kuliko Tanzania? Utakuta bei...
Ni ukweli usiopingika kwamba Kwa sasa hari ya kibiashara sio nzuri sana na hii inasababishwa na mambo mengi mni mengine tunayajua na mengine tunaweza kuwa hatuyajui kabisa.
Kuna Biashara nyingi...
Nimeagiza mzigo toka mwezi wa 6 mpaka sasa na yamebaki masaa kadhaa tu purchase protection iwe end sasa nataka nifungue dispute wakuu
Jee watanirefund?
Na pia wanataka niapload picha ya ushahidi...
Business rent sharing idea..
Natafuta mtu anaefanya biashara yeyote isiyo na usumbufu wa harufu au kelele… wa kushare nae kodi ya space tutakapofanyia biashara na kufanya separations … ( this...
Ulivyo sasa hivi ni matokeo ya kile unacho waza au unacho fanya.Ulivyo sasa ni uwekezaji ulio ufanya kichaani mwako.
Sasa swali je kwenye akili zako kuna uwekezaji gani?
Unawaza nini akilini...
Nimewaza sana kutafuta ufadhili wa kampuni yoyote ili inijengee hostels za kisasa zenye vyumba hamsini lakini nimeona ni vyema nilete wazo langu hapa na baada ya hapo ndo nichukue maamuzi, malipo...
Kwa sasa mtaani kumekuwa na shida kubwa juu ya hawa ndugu zetu wachina kwani wanachofanya mitaani si sawa hasa kwa vijana na watoto walio chini ya umri wa miaka kumi na nane , wanasambaza mashine...
Najua huku kuna wataalamu wa mambo ya fedha. Naomba usharui nataka kufungua account ya fedha ya kigeni husasani Sterling Pound (£) na vile vile nataka niwe nahamishia fedha kwenye e-wallet kama...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair is neutral in the short-term, but bullish in the long-term. Price moved sideways from Monday to Thursday, and...
“One thing very good traders have is insight into themselves.” - Chris Tate
FUN AND GAMES
Recently Louise Bedford and I have been doing the Short Term Trading Magic seminars in a few places...
Wakuu habarini.
Nataka kuanza kufanya manunuzi online ila leo nimeenda posta wamenambia kuwa natakiwa nifungue sanduku langu la posta kwa elfu 30 yaani ngachokaa kbs
Hii ni ile posta pale...
Kati ya hivi ving'amuzi Continental HD 2 cha Star Tv na Digitec cha ITV kimoja wapo kikiwahi kuingia sokoni hivi sasa kitauzika sana kuliko kingine kwa sababu market demand ipo juu sana. Startimes...