maya empire
Member
- Mar 24, 2017
- 75
- 78
Wadau,leo nimeona tuliangalie hili suala la kuondolewa kwa CDA kwenye kuustawisha mji Wa Dodoma na nafasi yake kuchukuliwa na manispaa,
Hapo kwenye CDA naomba wale Wa Dodoma watupatie mafanikio au changamoto wanazokutana nazo baada ya kazi za uendelezaji Wa mji Mkuu Dodoma kukabidhiwa kwa MANISPAA
LAKIN SAMBAMBA NA HILO,NAOMBA TULIANGALIE JAMBO LINALOKUJA SASA HIVI LA KUISTAWISHA DODOMA KUWA METROPOLITAN CITY KWA KUTUMIA SERA YA Dodoma Sustainable City VISION by 2025:
JE NI YAPI MADHARA YA HII SERA KWA WAKAZI WA DODOMA?
KARIBUNI GREAT THINKERS
Sent using Jamii Forums mobile app