Nifanye biashara au niajiriwe kwa muda?

Jul 8, 2017
95
29
Mimi ni kijana wa kiume,nmemaliza chuo mwezi huu. Nasubiri vyeti mwisho wa mwaka ambapo ajira rasmi inaweza kuwa mwakani. Kwa muda huu ninafikiria nifanye biashara(nina mtaji wa 500,000) au niajiriwe kwenye taasisi flan kwa malipo ya 400,000 kwa mwezi. Jee kipi sahihi kufanya kwa muda huu?
 
Unaishi nyumbani ? Umepanga ? Umeshapata wazo la biashara ? Ningekua mimi ningekamata hizo 400k kukuza kamtaji kidogo huku nikifikiria biashara ya part time.

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
fanya vyote kwa pamoja,ukifanya ukiajiriwa kwa muda itakusaidia kuwa na discipline ya kazi na hata kamtaji kako hafifu kakipelea utakuwa na uwezo wakukajaziajazia,p
 
Unaishi nyumbani ? Umepanga ? Umeshapata wazo la biashara ? Ningekua mimi ningekamata hizo 400k kukuza kamtaji kidogo huku nikifikiria biashara ya part time.

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Nmepanga! Lakin bado nina sapot ya home! Ninazo business ideas nyingi sana!
 
Kama kazi yako haitakubana sana ningekushauri ufanye vyote, otherwise nenda kafanye hiyo kazi kama kwa mwezi utaweza save atleast TZS 180k endelea na kazi after 1yr utakua umepush capital yako so unaweza fanya biashara na kupata return nzuri.
 
Asante
 
Unajua kufanya biashara? Kama huna hakika kajaribishe kua na boss kwanza ndio utajua nini maana ya kua your own boss.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
fanya biashara utest ideas zako.
ikifeli (sitegemei) bado unaweza kuendelea kutafuta kazi.
"Dunia iliendelea kwa biashara ". Waziri Maiga
anza kidogo anza sasa ...
 
Chukua hiyo ajira ya 400k, baada ya mwezi uangalie mazingira ya kazi kama yanaruhusu kufanya biashara(namaanisha muda wa kusimamia biashara yako) au tafuta fursa hapo kazini na uitumie kuongeza kipato cha ziada.

Ni vizuri hasa kuwa na security wakati wa kuanza biashara hasa kama hauna uzoefu, maana hata ukikwama utakuwa na back up. Ajira hiyo ya 400k itakuwa security. So ajira itakusaidia kuongeza mtaji wako na kukupa ulinzi lakini pia itakusaidia usitumie mtaji wako kwa mahitaji binafsi.

Biashara yako ikishasimama unaweza kuacha hiyo kazi yako ili ufanye biashara yako full time.
 
Good! Thank you!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom