Ushauri wa haraka kuokoa biashara yangu

Nyotinzuri

Senior Member
Mar 17, 2017
132
196
Habari wana jamvi, matumain yangu hamjambo.
Ngoja niende moja kwa moja, n hv nlijichanga nkapata mtaji nkafungua duka la bidhaa mchanganyiko mkoa wa Pwani sasa mwanzon wiki ya kwanza biashara haikua nzuri ila cku zlvyozd kwenda ikachangamka mauzo yakawa yanapanda mpk laki,

sasa kuna cku wakat nataka kufunga ilkua cku ya j3 nkaona juu kabsa ya geti ambapo n parefu kwelii kufkia mpk uweke kiti kirefu sn nkaona pana soks pair moja za mtoto zmebanwa na kibanio nkashangaa sn zmefkaje kule ikabd nmuite mume wng akasema n watoto watakua wameweka mmh nkamwambia poa,

sasa bwana toka siku ile mauzo yamepungua sn naweza fungua asbh mteja wa kwanza akaja sa nane nalala naamka nalala naamka hakuna mteja, najitahid sn kukemea hii ila cjajua iman yng n haba au vp.
Kwan naweza kuuza ht elfu moja tu kwa cku, inaniuma sn.
Nikiuza sn elfu 10 navunjika moyo, naomben ushauri na mm iman za waganga siziamn kweli.

Nafanya maombi lkn wap mara tu nnavyofungua.
Naomben ushauri ila kwenye huu mtaa yapo maduka km 6 hv km langu.
Nawaza nfunge tu kwan kod yng haijaisha na kwenye hii biashara nna miez mi5 tu.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku tulifungua ofisi asubuhi tukakuta paka ndani amekufa.

Geti letu ni yale yanayoshushwa kufunga na kupandishwa kufungua, ni kama coil yaani.
Mimi na mwenzangu tukaambiana hivi "Ujue hili geti tunalivuta vibaya hadi hapa mbele pameinuka ndiyo maana paka kaweza kuingia"

Siku nyingine tumefunga ofisi mwenzangu kuna kitu akawa amesahau tukarudi kukichukua.
Tumefungua geti tu akatoka paka mule ndani mbio.

Na bado tukang'ang'ana na nadharia yetu ile ile.
 
amini Mungu anaweza kwake hakuna linalo shindikana...usifunge biashara endelea kupambana hizo ni changamoto za kawaida katika biashara...cha msingi ni kuzidisha sala na maombi kwa imani yako...na kuzidi kuwa mbunifu...katika biashara yako hayo yana mda mfupi tu yatapita hkn linalo shindikana kwake


Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana siamini biashara za kukaa mahali pamoja

Ni moving shop mpaka uzeeni kwangu, na ntarithisha wanangu

spend less, save more
 
Habari wana jamvi, matumain yangu hamjambo.
Ngoja niende moja kwa moja, n hv nlijichanga nkapata mtaji nkafungua duka la bidhaa mchanganyiko mkoa wa Pwani sasa mwanzon wiki ya kwanza biashara haikua nzuri ila cku zlvyozd kwenda ikachangamka mauzo yakawa yanapanda mpk laki, sasa kuna cku wakat nataka kufunga ilkua cku ya j3 nkaona juu kabsa ya geti ambapo n parefu kwelii kufkia mpk uweke kiti kirefu sn nkaona pana soks pair moja za mtoto zmebanwa na kibanio nkashangaa sn zmefkaje kule ikabd nmuite mume wng akasema n watoto watakua wameweka mmh nkamwambia poa, sasa bwana toka siku ile mauzo yamepungua sn naweza fungua asbh mteja wa kwanza akaja sa nane nalala naamka nalala naamka hakuna mteja, najitahid sn kukemea hii ila cjajua iman yng n haba au vp.
Kwan naweza kuuza ht elfu moja tu kwa cku, inaniuma sn.
Nikiuza sn elfu 10 navunjika moyo, naomben ushauri na mm iman za waganga siziamn kweli.
Nafanya maombi lkn wap mara tu nnavyofungua.
Naomben ushauri ila kwenye huu mtaa yapo maduka km 6 hv km langu.
Nawaza nfunge tu kwan kod yng haijaisha na kwenye hii biashara nna miez mi5 tu.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
ndugu icho kitu ni kawaida kwa biashara zote mimi mwenyewe nilifungua banda la chipsi siku za mwanzo nilipata wateja wengi lakn wakaanza kupungua nikagundua walikua wanaangalia km natoa huduma nzuri walioridhika walibaki ndipo nikachange plan kwa kuimarisha biashara yangu, nakushauri fanya mabadiliko katka ofisi yako

Sent from my T800 using JamiiForums mobile app
 
Jibu la kusema ufunge ama usifunge biashara yako inategemea lkn labda kwa kuuliza hayo maduka sita uliyakuta ama yamekukuta na kama umeyakuta hauoni labda wameisha wakamata wateja wa hapo pia kuna mzunguko gani wa watu eneo hilo? Acha tuanzie hapo kama utajibu tunaweza shauriana tena na kama nilivyosema kufunga au kutofunga inategemea na sitaongelea sijui mambo ya ushirikina unaodhani ama mambo ya imani
 
Back
Top Bottom