Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Katika thread yake Ontario mwenyewe amesema yuko tayari kutoa training na mentorship kwa wakazi wa Mwanza, Kagera, Mara na mikoa jirani yenye uwezo wa kufika Mwanza. Anachohitaji ni kuji-organize...
9 Reactions
81 Replies
12K Views
Tuanze na BILIONI 1. Naona watu wanaitajataja sana bila ufafanuzi wa kueleweka. . . Kuna wanaoifananisha na mikopo Ya elimu Ya Juu, wengine darasa katika shule. . . Nk. . . Ngoja Mimi niiseme...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu, Humu najua ni wajuzi wa kuelimishana mambo mengi, Kufuatia mabadiliko ya kibiashara kwa sasa, biashara zimebuniwa nyingi za kuingiza vipato, naomba kujuzwa faida ya biashara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,kumekuwapo na fursa nyingi tu zinazopigiwa upatu kuhusiana uwekezaji huu wa bitcoin au bet za tatu mzuka na biko ,hivyo nlikuwa naomba...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu, Naomba kusaidiwa juu ya tawi lolote la bank ABC kwa mkoa wa Mwanza nahitaji huduma zao.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Na Thadei Ole Mushi. Huwa nacheka sana ninapoona mawaziri wetu wakikimbizana na Ruge mikoani kuzindua kitu kinachoitwa Fursa. Najiuliza pale Mlimani wanafundisha nini? Najiuliza pale SUA...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanza niombe radhi kwa uandishi wangu wa kijeuri ambao naamini wengi wenu hamkufurahishwa katika posti ya kuombwa kuuziwa gari la milioni tano ambalo naamini nimelikosa kwa sababu ya kauli na...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Wenye mapenzi ya biashara mliopo mikoaa hiyo mnaawezaa kupiga pesa na kupata milioni kwa mwezi ila mtaji uwe milioni 8-10 ndo utaweza Fanya Mwenye shida ya kujua na Mwenye mtaji aje pm
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Pengo baina ya matajiri wakubwa na watu wa kawaida lilipanuka zaidi mwaka jana kwa mujibu wa shirika la Oxfam. Asilmia 82 ya fedha zilizotengenezwa mwaka jana zilikwenda kwa asilimia moja tu ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jamii forums, Napenda kuwataarifu kuwa kwa wale wanaotembelea jukwaa la Mjasiriamali Desk, wanachama/wasio wanachama sasa wanaweza kutembelea jukwa hilo kwa urahisi sana kupitia simu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasikia Forex, Nadex sijui nini. Naona wengi wamemezwa na kampeni hiyo waki haidiwa kutajirika haraka. Nakuasa kijana wangu, hakuna pesa rahisi, kila pesa ina jasho. Ewe mwenye vipesa vyako...
45 Reactions
102 Replies
17K Views
Huenda zimeshaelezwa ila sio kwa maneno mepesi sana. Hizi hapa ukizifuata hakika unatusua vema sana popote duania! 1. Uwepo wa soko ~ Kwamba biashara hio unayotaka kufanya vipi ina soko? Jijibu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanabodi salama? Nimepanga kufanya study tours za kutosha 2015 ili niweze kuimarisha shughuli zangu za ujasiriamali. Nilishawahi kufanya huko nyuma,niliyoyaona yalinipa hamasa ya kufanya vizuri...
14 Reactions
45 Replies
7K Views
Contact Email Address: donald.asheri@gmail.com Kwa wafanya biashara Napenda kuwaarifu kuwa natoa huduma zifuatazo: MAJOR AREAS OF SPECIALIZATION 1. Business Advisory Services – business...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
When economists are trying to understand the economics of growth, they usually go by the numbers. Yet, not only don’t the numbers always add up, they also lack the dimension and context needed to...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Habari za asubuhi. Naomba kujua jinsi ya kusajili internet banking ya CRDB. Nimeshajaza form na nimetumiwa message. Ila sijui nianzie wapi.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wanabodi, kuna mkopo unahitajika urgent wa kiasi cha Milioni 4. Dhamana ya mkopo huo: Kadi ya gari aina ya IST. Kwa maelezo zaidi kuhusu picha, mawasiliano,nyaraka zingine muhimu na...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu natumai nyote ni wazima wa afya kabisa Husika na kichwa cha habari hapo juu kwa mwenye ufahamu wa kusafirisha mizigo nchi za west na south africa kwa gharama nafuu naomba anielekeze
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni maajabu sana mtu kukosa hela! Na ni ujinga uliokomaa! Binadamu wana mahitaji mengi sana.Fursa ni kemkem kila mahali na kila sekunde iendayo kwa MUNGU. 1. Umeshindwa kufuga? 2. Umeshindwa...
3 Reactions
24 Replies
46K Views
Wandugu naomb mjihadahri na hawa watu. Hivi ni kwanini wabongo hatujifunzi tu?? Jaribu kuingia kw website yao ,halafu pima kama kuna ukweli. Soma muongozo vizuri kabla ya kuchangia Mfumo ni...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…