Hii habari ni mbaya sana kwetu Watanzania, lakini pia ni fundisho kwetu tujisahihishe kujua ni wapi tunapokosea katika mikakati ya kukuza uchumi wetu. India imeweza kuuza Tanzanite yenye thamani...
Habari wakuu, nauliza msaada wenu, hivi faini ya pale bandarini kwa siku ukichelewa kuclear gari lako ni shilling ngapi kwa siku?
Naomba msaada wenu,
Kuna gari nimeagiza lakin jana ilikuwa siku...
Utangulizi
Fuatilia maelezo ya kila mfumo ukitilia maanani faida na hasara za kila mfumo. Unaweza pia kumtumia mshauri wa masuala ya biashara kukushauri kulingana na mazingira yako utakayofanyia...
22.6m/- set for monthly innovative ‘green’ idea winners
BY DAILY NEWS REPORTER
12 APRIL 2018
Dar es Salaam online platform has introduced a sustainable social media platform...
Hivi viwanja vya Songwe Mbeya Vijijini kwanini vinauzwa kwa bei kubwa hivi? Kwenye makazi square metre wanauza 11,500/=. Hii ni ardhi ya Serikali au?
Kiwanja cha square metre 600 ni milioni...
Kulingana na usawa huu ulivyo, na jinsi kipato kilivyo kigumu upatikanaje wake na hata kinapopatinakana hakikidhi mahitaji na hapo hapo unahitajika uweke akiba i wonder how is it possible kwa...
Kama kichwa cha habar kinavojieleza hapo
Je ni watanzania wangap ambao wamechukua hatua ya kutalii kwa maana ya kupanda mlima kilimanjaro kama part ya adventure na kivutio.
Watanzania tuna moyo...
Wadau,
Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye nchi yetu ya Tanzania karibu kila wilaya kuna madini ya aina fulani yenye thamani.
Wakuu ninaomba tubadilishane uzoefu katika eneo hili.
Ni aina gani ya...
“ILI KUPATA FEDHA LAZIMA UWE NA KITU CHA KUUZA.”
Bila kumung’unya maneno, nafikiri wote tutakubaliana na tafsiri ya fedha kama njia ya kubadilishana bidhaa au huduma baina ya mtu mmoja na...
Poleni kwa majukumu wapendwa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwa yoyote analelewa bakery kubwa ya kutengeneza bidhaa(bite) kama mikate na kuendelea katika jiji la dar tofauti na hizo bakery...
Hii ni kwa wanafunzi walioko vyuoni ni nafasi nzuri ya kufanya kwa vitendo yale tunayosoma darasani. Jiunge sasa kwa kupiga *150*36# (tigo) ambapo utapatiwa sh. millioni moja (virtual money)...
Habari wana jf, Mimi ni mkazi wa dodoma (nje ya mji), naomba kuuliza kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu biashara ya bidhaa tajwa hapo juu
Maswali yangu ni kuwa
1.dozen ya mifuko ile black...
Habari ya mchana wakuu
Nahisi kuchanganikwa hapa, nimefungua biashara hii week ya tatu tangu tuanze, ila naona imedorora sana, pesa iliyopatikan ni ya kulipa watumishi tu,hivi hii ni kawaida kwa...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Neutral
The market went upwards last week, to test resistance line at 1.2450; a level from which a bearish correction was...
Neno FAIDA linasikika sana katika masikio ya watu kila siku, ni kati ya maneno ambayo hata kutamkika kwake ni rahisi. Kutokana na sababu hii watu wanavutwa sana wanaposikia kuwa faida inapatikana...
nina wazo zuri kabisa na nimeliandika la kuanzisha kiwanda cha juisi ambayo ninaimani inahitajika sana tu ila shida mwenye mtaji wa kumshirikisha (wafanyabiashara wakubwa) nani nimuone maana...
Kuna Baadhi ya watu kumbe umasikini sometimes upo kwenye damu .. Hebu Angalia haya majibizano kati ya muuzaji wa magari na mteja.. Gari ilikuwa inauzwa Mil 7(fixed) kaandika muuzaji wateja...
No1: Hakuna biashara nzuri wala mbaya. Taarifa sahihi ya kile unachotaka kufanya ni hundred times better kuliko mtaji na idea yako. Mara nyingi unaweza kuwa uko-stucked mahali fulani kwa sababu...
Habari wanajamii.
Nimekuwa na shauku kubwa sana ya kuwekeza katika amana na dhamana hasa za serikali. Lakini nimekuwa nikipigwa danadana na watu wa kati ambao ni CRDB Bank.
Mwezi Januari nilitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.