Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Asalam Aleykum wanabodi. Nimekutana na mkasa wa kusikutisha kidogo, wakati Mhe. Rais anawaambia watanzania watembee kifua mbele, hali ni tofauti sana. Kuna watendaji wa mashirika ya umma wanapiga...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu, Wanawake wengi waliojaliwa neema za Mungu mara nyingi wanapata shida sana katika kupata nguo nzuri za ndani(chupi na blazia) ambazo na yeye zitamfanya ajisikie vizuri kama wenzetu...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Hongereni sana watanzania wote mliofanikiwa ku-make on the list ya new selected Tony Elumelu Foundation Entrepreneur for year 2018. Haikuwa rahisi hata kidogo, 150,000+ applications from 54...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naweza badilisha hii pesa kwenda pesa ya kitanzania?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mfano mwezi ulioisha nilifatilia kibali cha kusafirisha kenge nje ikashindikana ila nikaambiwa watu wa zuu pekee ndio wanapewa lessen za kusafirisha wanyama ila mim nasemea kenge sijui kama kenge...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Kwanza tutoke mafichoni. Tujitokeze mitaani kuangalia je ni fursa gani zipo. Makala iliyopita nilitoa mfano wa makala ya muuza matunda. Leo naomba nitoe makala nyingine inayofanania. Kuna rafiki...
13 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari zenu wana jukwaa. Niende kwenye kiini Cha mada, Mimi ni mhangaikaji mwenzenu yaani ni mtu naisaka pesa popote inapopatikana ilimradi iwe njia ya halali. Natafuta pesa bila kujali ni kazi ya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, Nasoma diploma in accountancy nilikuwa naomba ushauri jinsi ya kujiajiri kulingana na taaluma yangu. Asanteni
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna siku nilileta bandiko hapa la Mdada gradute kuuza uji watu kwa kifupi povu liliwatoka na wengi unakuta wako mtaani na wengine wanaishi kwa shemeji na wengine wamejiriwa wanakula Kilo 3 na...
29 Reactions
85 Replies
15K Views
Kila mmoja kwenye maisha anataka mafanikio maana mafanikio yako ndio yatakayokufanya ushi maisha ya kifahari, uweze kumilijiki majumba pamoja na magari ya kifahari. Lakini umetamani sana kutafuta...
10 Reactions
33 Replies
11K Views
Wasalam wakuu Kumekua na faida chungu mzima za kununua bidhaa mtandaoni hususan eBay,Amazon,aliexpress, na wengineo Leo naomba nije na maswali kuhusu hawa alibaba Kiukweli mimi nina uzoefu na...
2 Reactions
19 Replies
7K Views
Nime import bidhaa na nimechajiwa VAT bandarini ila wateja wangu wa Zanzibar wakitaka ingiza mzigo zanzibar wanachajiwa tena VAT, Nitumie document gani, ili wakionuesha wasichajiwe tena VAT??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukifika Dar Intl Airport na ukaingia pale FLAMINGO RESTAURANT kama upo makini utagundua movements zisizo za kawaida yaan kama kuna biashara isiyo ya kawaida inafanyika pale yaani kuanzia wahudumu...
10 Reactions
84 Replies
16K Views
Kwa wale wote wenye uhitaji wa fulanaa au manga Kali zilizokwixha printiwa zinapatikanaa hapaa kwangu nichek kwa nambar 0658176932or 0742036732 au unaweza nichek au kunifollow instragram follow...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
kwa anae tumia ADVCASH ...ukishajiunga kuna sehem 3 za kujaza ile ya pili wanadai baadh ya vitu flani flani hivi ila kwangu nimeona nafuu barua ya utamburisho kutoka bank but nilipoenda bank...
0 Reactions
6 Replies
842 Views
Wadau ni njia zipi nifuate ili kufanya kazi na haya makampuni??? Pls kwa anayejua na aliyefanya nao naomba anaeleze. N:B Pia mapungufu ya kazi hiyo mniambie wadau. Kwa urahisi waweza ni sms...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Haya ndgu zangu wa kanda ya ziwa, tujumuike pamoja kupata mafunzo ya Forex yatakayoanza tarehe 20 November 2017 jijini Mwanza. Training hii itaendeshwa na wataalam wa hii business The Million...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani habari za humu ndani. Naombeni msaada jinsi ya kuwa freelancer wa airtel. Niko Tabora.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa kiasi kikubwa sasa biashara (Industry) mbalimbali zinakutana na mabadiliko mengi na yasiyotarajika na kutabirika (environmental uncertainty). Ushindani katika biashara umekuwa mkubwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba mwenye uelewa na biashara ya kutengeneza chakula cha mifugo na pellets anisaidie. Ikiwa rawmaterial ni pumba na mashudu.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom