Una Idea ila kuiweka sokoni inakuwa vigumu? Tengeneza wajinga wengi sana akilini mwako na utatoboa

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Hii Dunia kwa sasa kama akili haifanyi kazi kwa speed kari basi ni shida tupu.

Kwa sasa Wenye akili wamekuwa wakitengeneza wajinga wengi sana akilini mwao ili wale wajinga sasa wa implement Idea yao.

MFANO
Kuna jamaa fulani Kebya alikuja na Idea ya kufuga Sungura, ila akagundua kwamba Wakenya hawali Sungura na hawana utamaduni wa kula sungura.

Jamaa ikabidi sasa atengebeza wajinga wengi sana kichwani mwake.

AKAPATA WAZO

Akaanza kuhamasisha ufugaji wa Sungura na kwamba yeye atawanunua wote na atakuuzia mbegu. Hapo sasa akapata wajinga.

Akaanza kuuza Sungura wazazi na kwa bei kubwa sana na unafuga then unamuuzia yeye wale Sungura wote kwa bei ya kilo.

Yeye anakuuzia sungura kwa TSH 80,000 ila utakuja kumuuzia kwa Tsh 30,000.

Ukisha muuzia atawachukua tena hao hao Sungura atawauza kaka sungura wazazi kwa bei kubwa.

Jamaa alipiga sana pesa mpaka kuja kushutikuwa alikuwa mbali mno na kwa sasa hafanyi tena hiyo biashara anafanya nyingine.

WEWE SI UNA IDEA NA UNAONA NI NGUMU KUTEKELEZEAKA? UMIZA KICHWA TENGENEZA WAJINGA WA KUITEKELELZA.

NAMAINGO yule mama naye alikuja na Idea yake safi sana sasa anaitekeleza vipi akatengeneza wajinga kichwani mwake.

Mama kapiga pesa kapita hivi.

BABU WA LOLIONDO pamoja na kwamba hajasoma sana ila alikaa akawaza na akaona asije kufa masikini na alicho kifanya kwenye wazo lake ni kutengeneza wajinga wengi sana.

BABU hatakufa masikini kamwe.

UNA IDEA NZURI ILA UNAONA UGUMU KUITEKELEZA?

Tengeneza wajinga wengi sana kichwani mwako, hao wajinga ndo watakao tekeleza Idea yako na mpaka wajinga wanashituka utakuwa mbali mno na kamwe hutakufa masikini.
 
Haya makampuni ya simu kama Samsung na I phone ndo kitu wanafanya, wanacheza an akili za watu tu basi wao wanapiga pesa.

Mwaka huu I phone kaja na I phone x kwamba ndo bora na haijawahi tokea na subili mwakani atakapo kuja tena na simu nyingine na kuanza kuipondea I phone x.

Hawa ndo wanao piga pesa,
 
Kuna siku nipo kwenye Basi naenda mkoa kuna jamaa akawa anatangaza ananunua Mabusati ya miguu akawa anaelekeza jinsi ya kutengeneza mule kwenye gari alaf akawa na Raw material zote kuanzia Sindano ya kushonea pamoja Nyuzi we unachofanya unanunua Raw material kwake unaenda kushona yakifika kumi unampigia Simu anakuja kununua.
Badi jamaa alipiga hela akina mama wengi walinunua raw material kwake
 
Mabusati ndio nini?
 
Hii Dunia kwa sasa kama akili haifanyi kazi kwa speed kari basi ni shida tupu.

Kwa sasa Wenye akili wamekuwa wakitengeneza wajinga wengi sana akilini mwao ili wale wajinga sasa wa implement Idea yao.

MFANO
Kuna jamaa fulani Kebya alikuja na Idea ya kufuga Sungura, ila akagundua kwamba Wakenya hawali Sungura na hawana utamaduni wa kula sungura.

Jamaa ikabidi sasa atengebeza wajinga wengi sana kichwani mwake.

AKAPATA WAZO

Akaanza kuhamasisha ufugaji wa Sungura na kwamba yeye atawanunua wote na atakuuzia mbegu. Hapo sasa akapata wajinga.

Akaanza kuuza Sungura wazazi na kwa bei kubwa sana na unafuga then unamuuzia yeye wale Sungura wote kwa bei ya kilo.

Yeye anakuuzia sungura kwa TSH 80,000 ila utakuja kumuuzia kwa Tsh 30,000.

Ukisha muuzia atawachukua tena hao hao Sungura atawauza kaka sungura wazazi kwa bei kubwa.

Jamaa alipiga sana pesa mpaka kuja kushutikuwa alikuwa mbali mno na kwa sasa hafanyi tena hiyo biashara anafanya nyingine.

WEWE SI UNA IDEA NA UNAONA NI NGUMU KUTEKELEZEAKA? UMIZA KICHWA TENGENEZA WAJINGA WA KUITEKELELZA.

NAMAINGO yule mama naye alikuja na Idea yake safi sana sasa anaitekeleza vipi akatengeneza wajinga kichwani mwake.

Mama kapiga pesa kapita hivi.

BABU WA LOLIONDO pamoja na kwamba hajasoma sana ila alikaa akawaza na akaona asije kufa masikini na alicho kifanya kwenye wazo lake ni kutengeneza wajinga wengi sana.

BABU hatakufa masikini kamwe.

UNA IDEA NZURI ILA UNAONA UGUMU KUITEKELEZA?

Tengeneza wajinga wengi sana kichwani mwako, hao wajinga ndo watakao tekeleza Idea yako na mpaka wajinga wanashituka utakuwa mbali mno na kamwe hutakufa masikini.
Ngoja niitumie, ntakupa mrejesho..!
 
Lazima kutengeneza Wajinga akilini mwako. Ni kutengeneza taswira ya wajinga ambao ndo watakao kuwa implementa w Idea yako
 
mimi nimependa akili ya dogo wa forex yule....
Mkuu Forex mbona inalipa if you take it seriously sema kama mgeni na hayo mambo na unataka faida tuu shida inaanzia hapo na wabongo wengi nimeona wao wanaangalia upande wa faida tu hawajui sometimes kuna kukosa pia Mfano mzuri tu ni mimi mwenyewe kipindi cha nyuma nilikuwa nafanya Binary Option hii haijatofautiana sana na Forex kilichonitokea mimi ni kwamba nilivoanza nilipoteza hela kidogo nikaangalia nimekosea wapi nikaweka hela tena kiukweli mambo yalikuwa mazuri tu mpaka kufikia mwaka jana mwezi wa sita kama sikosei kuna ka hela nikakapoteza kidogo lakini hapo nilikuwa nisharudisha hela yangu na faida juu na kitu nimegundua ni kwamba ningechukulia serious hadi leo basi ningekuwa mbali mimi nikistop kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.

Kwa hawa wa Forex wapo watakao fika mbali na pia wapo ambao watakuwa wasindikizaji wataamua kuishia njiani.

Watu wana jaribu kufananisha Forex na Sports Betting wakati they are very different. Kwahyo time will tell.
 
Back
Top Bottom