Vipi ujenzi wa daraja la Agakhan mpaka Coco Beach umefikia wapi?

Kapilipoint

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
381
343
Wadau mtakumbuka tuliambiwa ili kupunguza foleni barabara ya Ally Hassan Mwinyi litajengwa DARAJA kuanzia hospital ya AGAKHAN mpaka COCO BEACH.Je ujenzi huo utaanza lini?
 
Ww unawaza kutafuta nauli ukaangalie vidond a vya lisu lini utajua nchi inakwenda wapi

Ndio watanzania tumefikia hapa? Chuki ya kisiasa ndio imetufikisha hapa?
Halafu mbona unatumia maneno makali yenye kejeli kama ulihusika katika lile shambulio?

I better shut up!
 
Wadau mtakumbuka tuliambiwa ili kupunguza foleni barabara ya Ally Hassan Mwinyi litajengwa DARAJA kuanzia hospital ya AGAKHAN mpaka COCO BEACH.Je ujenzi huo utaanza lini?

Yaani kweli na ww ulikubali?
Ukuta wa Mererani umeisha funguliwa?
 
Back
Top Bottom