Asubuhi watu hawali na kunywa hadi jioni sasa mahitaji makubwa yanatoka wapi??Mahitaji makubwa ya chakula kwa sababu ya mfungo.
Wanakula sana, jion saa 1 na alfajir saa 9(wenyewe wanadai daku ni suna)Asubuhi watu hawali na kunywa hadi jioni sasa mahitaji makubwa yanatoka wapi??