Wafanyabiashara hii tabia imezidi siku hizi: Eti "sina chenchi"

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,207
1,755
Wafanyabiashara hii tabia imezidi siku hizi eti "sina chenchi" kwa hiyo nisinunue alafu kibaya zaidi hadi kondakta naye anasema "sina chenchi" kwa hiyo nisilipie.
 
Cha msingi sahz kl huduma ilipiwe kwa mpesa, tigo pesa au airtel money maana hyo hta usumbufu wa chenji hautakuwepo km kitu bei n 2350 nalipa hvyohvyo nduki huu ujinga ctak kbsa
 
Wanaua biashara zao.

Kuna jamaa jana aliniambia hana chenji nikaondoka zangu

‘Mwenzake alikuwa na change
 
mimi nimekutana na hilo tatizo kwa wiki 2 sasa, nabaki kujiuliza hivi kwanini chenji imekuwa adimu kwenye maduka mengi.

Wajuzi wa uchumi mtujuze hapa.
 
mwendokasi... wanaongoza kwa hii tabia.. hawana 50... wanafatiwa na watu wa glocery.. nao wanaitumia hii njia ku keep change
 
Wafanyabiashara hii tabia imezidi siku hizi eti "sina chenchi" kwa hiyo nisinunue alafu kibaya zaidi hadi kondakta naye anasema "sina chenchi" kwa hiyo nisilipie.
Mkuu darasa la graphics programming open gl na open cl liliishia wap, wadau walinambia eti umepata kazi nvidia kama computer vision engineer, ya kweli hayo??
 
Ila wateja wengine wana makusudi mtu anatoa elfu kumi anataka kununua jojo ya sh hamsini,chenchi utatoa ngapi kwa wateja wa hivyo na kwa biashara ipi wakati huu wa kuisoma namba
 
Mkuu darasa la graphics programming open gl na open cl liliishia wap, wadau walinambia eti umepata kazi nvidia kama computer vision engineer, ya kweli hayo??
wabongo hawapendi kusoma niliacha ila mkiitaji naendelea
 
Ila wateja wengine wana makusudi mtu anatoa elfu kumi anataka kununua jojo ya sh hamsini,chenchi utatoa ngapi kwa wateja wa hivyo na kwa biashara ipi wakati huu wa kuisoma namba
Dah
 
Back
Top Bottom