Super Brain
Member
- Apr 17, 2016
- 45
- 38
Habari gani jukwaani?
Mimi ni mwandishi wa vitabu vya motivation and inspiration pamoja na riwaya. Kweli nimefanikiwa kuandika vitabu kadhaa.
Nimefanikiwa kutoa kitabu kimoja cha riwaya ili nilisome vizuri soko. Lakini nilichokiona ni kwamba napata tabu katika kupata soko japo kuwa napata Wateja lakini soko halijakaa kiuhakika sana, watu hunisifia tu ni mtunzi mzuri niendelee lakini nakuwa kama nakata tamaa kuendelea kuandika kwani sijapata kampuni ambayo naweza kuwauzia.
Lengo langu kubwa ni kuvitafsiri ili viweze kuuzwa nje ya nchi nitafanyaje?
Msaada tafadharini.