Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 405
Ndugu yangu karibu tena katika makala fupi hii juu ya kuelimishana Matajiri wengi huchukia maskini wakiskia hii habari.
Umaskini sio mpango wa Mungu juu ya mwanadamu.Ni matokeo ya kupuuza kanuni za kimungu.Kuna kauli nyingi za kipuuzi zimetungwa na wajanja ili kukubinya wewe maskini mfano:Aliyekupa wewe ndiye kaninyima mimi.
Waafrica walio wengi haweendelei kwa sababu kuu moja nayo ni kutojua matumizi ya muda, wengi wanedanganywa kuwa
1.Fanya kazi saa 8
2.Pumzika saa 8
3.Lala saa 8
AMIN AMIN NAKUAMBIA ukifiata hii ratiba potofu utakufa maskini na huyawaachia wana wa wanao utajiri.
Kama unadhani kazi uliyoajiriwa ni jambo la maana sana lina kupa security umepotoshwa ndugu yangu,sehemu yenye security kubwa kuliko ni jela.Your job doesn't offer you security,ukitaka security na freedom jiajiri wewe.
Naomba nizungumzie hii enigma(Siri ya Muda) Endapo utafuata hii kanuni ndani ya muda mfupi utaanza kuitwa muajiri/boss na tajiri.
Mgawanyo wa Muda Ki Mungu
1.Mpe Mungu Masaa 2:40 minutes
2.Mwenza wako 1:40 minutes
3.Family. 1:40 minutes
4.Biashara zako. 8:00 hrs
5.Mengineyo. 6:00 hrs
6.Kupumzika. 4 hrs.
Huo ndio mgao wa masaa 24 unatakiwa uwe utaishi maisha ya furaha sana.
Jambo jingine ninalotaka ku share nanyi ni kati ya vitu vinavyo poteza muda,
1.Tv
2.social media
Kwa miaka miwili nlipoteza muda mwingi sana maana home nlikua na Tv na king'amuzi cha chanel zaidi ya 200 bado nilikua whatsapp, insta, twitter na mitandao mingine ya kijinga ikifika time nkawa mtumwa wa smart phone,yaani simu ilikuwa ikikata moto nlikuwa nakosa raha kabisa like nataka maji ya kunywa.
One day nlijiuliza mbona sijawahi muona Tajiri mkubwa kama Mengi au Bill gates au Jack Ma anatembea na ma simu mengi mkononi au yuko bize na ma simu muda mwingi,ndiposa nkagundua ukiona mtu yupo bize sana na smartphone jua bado ni lofa, matajiri huajiri mtu anaye control social media zao,hivyo basi nkatafuta mtu ndiye hu monitor Fb, Insta na twitter yangu, Nyumbani
Nina Chanel Tatu tuu za Taarifa ya Habari tuu,na wifi nafungua jioni nyumbani muda wa kurest ku surf internet ku gain new knowledge,nimekuwa rafiki wa vitabu sana na kufikiria idea mpya mara mara.
Brother ukiona bado upo bize na smart phone jua bado we ni maskini wa mawazo na ndio chanzo cha umaskini wako, mtu kazi yako ni ku follow ma super star instagram na twitter hakuna anayeku follow.
My brother uza smart yako au mpe mtu amo nite,kuwa na secretary wako. Baki na simu moja tuu ndogo hata ka nokia, kawe na bissiness contacts tuu.
Free your mind my brother get rid of social media, read more about time management.