SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,802
Wadau nimekuja na wazo la kuanzisha mobile toilets pembezoni mwa barabara zenye foleni sana hapa Dar maana nimefanya uchunguzi nimegundua kuna uhitaji mkubwa. Hasa mida ya jioni kuanzia saa 9 k kuanzia nitaweka Maeneo ya Ubungo Mataa, Ubungo Kibo, Mwenge Mataa, Kona ya Clouds/Mikocheni, Jangwani & TAZARA.Tutunze Usafi Jijini kwa kutojisaidia vyo.