Habari zenu jamani.naomba watumishi mnijuze kama tayari shimo limetema.
Nilijichanga changa nikanunua kagari ka biashara sasa kamepata hitilafu kamekomba hela zangu zote.nategemea tu mshahara...
Nimefungua saloon miezi miwili nimekaa mwenyewe nimepata zaid ya laki 3.. Cha Ajabu wiki ilopita nimemweka mtu mimi nilisafiri narudi sikuti hata Mia,,
Lengo langu nifanye biashara nyingine...
Habari za mda huu ndugu zangu naombeni kuuliza ka waha Tanzania kwetu kuna benki yoyote ambayo haina makato ya kila mwezi na kama ipo ni ipi ili nikafungue account na mm niwek kihakiba changu...
Kwanza nawasilimu!
Pili...
Katika harakati za kuhakikisha naweka kumbu kumbu za mapato na matumizi yangu kwa mwezi nimeamua kutengeneza "spread sheet" ambayo ina sehemu mbili, Income na...
Habarini wadau,
Kwakweli ni halali mashirika ya umma kufa kutokana na uzembe na uzito wa kufanyakazi kiasi kwamba wanajivuta sana maongezi binafsi yametawala hawako serious na wateja...
Habari za mda Huu wakuu, nataka kufanya biashara ya Mchele, naomba kupata mtu anayesafirisha mchele kutoka Kahama na kupeleka mikoa mingine anisaidie kunipa taarfa ya bei ya Mchele kwasasa na...
Wengi wetu huwa tunapenda kuziuza smartphone zetu hasa pale tunaposikia kuna toleo jipya limeingia
Lakini sio kitu kirahisi. Ni wazo zuri kufikiria kuuza simu uliyoitumia kwa mda mrefu ili uweze...
Habarini wadau. Juzi nimepokea sms toka Vodacom kuwa nitakatwa tshs 300. Hii imekaaje jamani,kwani ni lazima tuwe tunatumia mpesa mara kwa mara ktk kufanya miamala yetu.?! SMS yenyewe hii hapa...
Kampuni moja ya chakula mjini San Francisco, nchini Marekani, imevumbua mfumo wa kukuza nyama ya kuku katika maabara, kutokana na seli ya unyoya wa kuku.
Ladha ya nyama hiyo ni sawa na ile ya...
FOREX TRADING SHORT COURSE
Petram Corporation inakuletea course fupi ya Forex Trading. Jifunze namna ya ku trade fedha za kigeni mtandaoni. Jenga kipato cha pili na rahisi.
Training contents...
Habari za wakati huu wakuu?
Nimeshangazwa kidogo na jambo nililolishuhudia leo kutoka kwa hawa watendaji wa TRA,nimeamua kuja hapa ili niweze kupata ufafanuzi ikiwa ni sahihi ama laa!
Hawa jamaa...
Wawekezaji wanauza kwa wingi hisa zao kutoka Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kutokana na mabadiliko ya bei ambayo hayatabiriki, na hivyo kuhatarisha uwekezaji wao. Wawekezaji kutoka Benki ya...
Hi there, GT
Ninataka kuanza biashara ya kuagiza vitu mtandaoni kutoka nchi za ng'ambo kwa kutumia online markets kama vile eBay, Amazon na Alibaba.
Kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii...
Mi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nina certficate ya planing management natafu mdhamini katika biashara ya uuzaji wa vyakula aina zote,nataaluma ya kupika vyakula aina yote na nina uwezo wa...
Habarini zenu wakuu!
Naomba mnisaidie njia rahisi ya kuwanunulia wateja vifurushi Kama Cheka zogo kwa haraka.
Mimi huwa mteja akihitaji kifurushi naanza kukwangua vocha na kuingiza kwenye simu...
Mwenye uelewa mzuri wa busta kwa ajili ya music ninamziki lakini sina busta, na nimeshauliwa nitafute busta ili mziki uwe vizuri. Tafadhali nawasilisha
kenya nasikia kuna masoko yenye vitu vya mitumba kama viatu,mabegi na mikansa ya kiunoni,ni vizuri mno,kama kuna mdau yuko humu analijua soko hilo anielekeze