Habar..wakuu!!
Wenye ujuzi kidogo na haya mambo ya ujenz
Baad ya kujichangachang nimefanikiwa kupat kaeneo sasa nilikuwa naitaji kuanza ujenz lakn kwa awamu km mnavyojua life lenyew ni la kuunga...
Bussness account(akaunti za biashara) ni akaunti ya kawaida kabisa kama nyingine inayotumia jina"brand" ya biashara fulani.
Zinaweza kuwa pia akaunti binafsi za watu maarufu na za watu wenye...
From Reuters: Congo state miner warns Randgold on transfer of Kibali mine to Barrick
Congo’s state miner Sokimo warned Randgold Resources on Friday that Sokimo would “assert its rights” in...
Brazilian oil company Petrobras has agreed to an $853.2 million settlement with U.S. and Brazilian authorities to end yearslong investigations tied to one of the biggest corruption schemes ever...
Tupeane uzoefu wale waliochelewa kutoboa.
Najua kukata tamaa katika kutafuta Ni kosa kubwa na Ni usaliti juu ya wenye high hustling spirit. Ni usherani mkubwa kukata tamaa. Ndo maana naamini wapo...
Nimeambatanisha Proforma Invoice. Kwa wale wenye uelewa na mambo ya kuclear mzigo bandarini je, itanigharimu kiasi gani kuutoa mzigo bandarini?? Bado sijailipia nimewasiliana na supplier kwenye...
ZIFAHAMU AINA ZA KODI NA VIWANGO VYAKE KWA MFANYABIASHARA
MDOGO NA WA KATI.
[emoji1006]: KODI NI NINI?
Kodi ni mchango wa lazima kwa serikali kutoka katika malipo ya mishahara,
utoaji wa...
Kwanza naanza kutoa pongezi kwa ATCL kwa kazi kubwa wanayofanya ya kuliweka hai shirika letu la ndege. Natoa pongezi pia kwa kuanza safari za nje ya nchi katika kupanua wigo wa huduma za ATCL. Kwa...
Kwa mujibu wa tcra ving'amuzi vinavyotoa huduma ya channel za ndani Bure ni STARTIMES, Continental...ila cha ajabu STARTIMES chaneli za ndani sio bure kwa wale wenye ving'amuzi vya dishi...
Tanzania ya viwanda inawezekana, mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi, namna ya kutengeneza, Ratios, NA rasilimali zingine muhimu za kuzingatiwa wakati was kutengeneza bidhaa...
Kampuni ya ndege ya Fastjet kesho itaanza safari zake kwa kutumia ndege mpya aina ya Embraer E190 na kuwatoa hofu wateja wake kutokana na ubora wa ndege hizo.
Hayo yamesemwa na Meneja Mkuu wa...
Naomba kujua ABC's za kufungua workshop ya aluminium and glass work, pamoja na Steel. Yaani iwe kutengeneza aina zote za vifaa vya aluminium na grills za madirisha, milango na mageti.
Pamoja na...
* Shares plunge over 50 pct
* Warns of low cash
* Could exit largest market Tanzania
Sept 26 (Reuters) - Fastjet Plc’s shares shed more than half of their value on Wednesday after the African...
Hello wanajamvi wenzangu naomba kuuliza hivi ukiwa na Leseni ya Biashara na Tin namba ,ikatokea unataka kuifunga Biashara ili ufanye mambo mengine ,je umiliki wa hivi vitu unakuwaje ,Leseni na Tin...
kuna meli mbili zinatarajiwa kutia nanga na kupakua mizigo bandari ya dar es salaam.
kota manisi ETA yake ilikuwa tarehe 23 septemba 2018. ni kweli iliwasili katika maji ya dar es salaam tarehe...
Faida ya Kampuni ya Bia #Tanzania (TBL) katika nusu ya kwanza ya mwaka 2018 imeshuka kwa asilimia 16 hadi TZS bilioni 64.5 kutoka TZS bilioni 77.13 katika kipindi kama hicho mwaka jana. Kushuka...
Habari wana JF
Kama Uzi tajwa hapo juu, binafsi huwa naona matangazo kwenye app ya kupatana watu wakiuza na kununua vyombo vya usafir kama pikipiki na gari.
Lakin m lengo language in kununua...
Afsa TRA mnaona watu wamejazana wanaomba kufunga TIN zao kwa kuwa biashara hamna nyie at a kuangalia jinsi gani ya kuwapunguzia kodi ata wawe wanaleta kidogo hamna.alafu mnasema hapa kazi tu!!kazi...