Kwa wale ambao ni wageni forex na wanatamani kuingiza ela,, ni vema ukaanz ana pair KSH/TSH kwa lugha nyepesi unawezaa kuplay part kama wale jamaa wa border na ukatengeneza pesa nzuri, miaka 8...
Kuna uwekezaji nimetamani kuufanya,, najua nikiufanya naweza kuambulia chochote kinywani
Natarajia kuwekeza kama 1.7 MIL.. Na nikifanikiwa kuna uwezekano nikapata pesa nyingi hapo baadae yaani...
Sitaki kuongea sana, ila kuwa risk taker sio sifa, Sifa ni kuwa calculated risk taker. Sasa unabet alafu unasema I'm risk taker, Damn!!!
Learn how to take calculated risk, huwezi risk nothing and...
Natamani enzi naanza maisha ningeijuaga JamiiiForums au ningepata mawazo na idea ambazo nazitoa mimi kila siku au ninazokuta watu wamezitoa bure humu humu JF.
Leo nimekaaa nimewaza sana namna ya...
Imeandaliwa na Smart Finance SW
Siku hizi, watu wengi wanapenda kusikia kuhusu habari za passive income. Wanavutiwa na njia za kutengeneza pesa kupitia mfumo huu. Kama hujui passive income ni...
Usipoteze mtaji wako, ukuze kwanza, Milioni 10 Haitoshi kabisa kuja China na kutengeneza faida kwenye biashara yako.
Hapa ni makadirio ya gharama kama unakuja china.
Ata uwe na connection...
Wakuu habari
Nimekuwa nikutumia hii program kwa muda kidogo baada ya kukutana na threads kadhaa humu JF nami nika-download na nikaanza kutumia kama kawaidia.
Nilikuja kushangaa kuona program...
Poleni na majukumu wadau, me naomba kwa yeyote mwenye uzoefu wa biashara ya dagaa (wakavu) wa mwanza kupeleka Dar, naomba kujua gharama za kununulia kwa wavuvi, gharama za kuwakausha pamoja na...
Wakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri.
Mimi ni mwekezaji wa hisa za Vodacom Tanzania (VODA) kupitia DSE/CDS account. Tatizo nililonalo ni kwamba hii ni mara ya pili sasa sijapatiwa...
Kodi ni muhimu sana ili kufadhili shughuli za serikali, huduma kwa umma kama vile barabara na mashule, Usalama wa Jamii, Afya na Mengineyo.
Sasa kama hata hayo kuanzia Elimu (Mikopo na Shule...
Habari mazee . Leo nataka nikupe kichupa ambacho nimekichek youtube nikasema nikipige na AI kisela niwaletee wana mjifunze kuhusu ujasiriamali.
Movie inaitwa "The Billionaire", Thailand movie...
Habari wanajf awali ya yote niwapongeze uongozi mzima wa Jamiiforum pamoja na Wana member wenzangu humu!
Natumaini yote tu wazima wa afya, Sasa bwana Leo kilichonileta ni hiki kama Uzi unasema...
Habarini wana jf nina mtaji wa 310,000 tsh lakini nataka nitumie 150,000/= kufany biashara ya juisi za matunda.
Naombeni ushauri sina blender wala freezer.
Nawasilisha
Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata...
Habari wanazengo,
Nimekua na shauku sana la kusajili biashara yangu ya hardware itambulike rasmi kama kampuni, sasa katika kufuatilia nimekutana na vitisho vingi kutoka kwa watu mpaka inapelekea...
Version 1.0
Release Date: September 2025
Authors: BFC Core Team
Website: www.bongoflavorcoin.com (Placeholder)
Contact: info@bongoflavorcoin.com
1. Abstract
In the pulsating heart of Africa's...
Tuseme ni 0.95% tu ya watu duniani hua wanaelewa exchange rates znapatikana vp, hizi rates ndo znatumika na wale vijana wa mT5 pia kufanya biashara lakini mpaka leo hawajui hizi rates zinatokana...
HAbari zenu wakuu.
Binafsi nataka nimfungulie mama watoto biashara, basi nikatarget sehemu fulani kwa ajili ya biashara hiyo.
katika kufanya maulizo ya hapa na pale nikaambiwa natakiwa niwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.