Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Jana nilipost thread kuhusu hatua za kufuata wakati wa kuongeza share capital, Leo nitakuandikia documents husika zinahitajika kukamilisha mchakato huo wa kuongeza share capital. 1. Board...
3 Reactions
0 Replies
300 Views
Huu ulikua ni ushauri wangu wa mwisho kumpa AISHA juzi mchana. Kwenye thread hii nitakuonesha faida za kufungua Kampuni badala ya Jina la Biashara kama nilivyomwambia AISHA. 1. Limited liability...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
In today’s digital age, social networks offer numerous opportunities for making money. With billions of users globally, platforms like Facebook, Instagram, Twitter, LinkedIn, and TikTok can be...
1 Reactions
3 Replies
952 Views
Dada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
6 Reactions
74 Replies
4K Views
Najua wapo wengi ambao mmewahi kusikia kuhusu HUBS na Co working Space Je, unafahamu ni nini? Hubs au Co working space ni aina ya Ofisi za kufanyia shughuli zako ambayo inakuwezesha kufanya kazi...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Fee za usajili wa Kampuni BRELA, zinatofautiana kulingana na capital ya Kampuni. Kwa capital ya 1M mpaka 4M Brela wataku charge 222,200. Kwa capital ya 5M mpaka 10M Brela watacharge Tsh...
4 Reactions
4 Replies
705 Views
Unaweza kusajili leseni ya biashara kwa kutumia cheti cha jina la biashara yako tu Leseni ya biashara ni kibali rasmi kinachotolewa na mamlaka husika ili kukuruhusu kufanya biashara kwa mujibu...
1 Reactions
0 Replies
408 Views
Habari za muda huu mabibi na mabwana, Mbele yenu nipo mimi kijana mpambanaji katika sekta ya ujenzi (Contractor), hususan kwenye kazi za umeme na mechanical. Pia nafanya biashara ya kutengeneza...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
2024 uwe na ujasiri kama Hill water. 1. Usiogope yoyote, 2. Weka mipango, 3. Tekeleza, 4. Sacrifice. Utatoboa NB: Mangi hatumii hirizi wala mazonge-zonge bali Biblia na bidii.
58 Reactions
355 Replies
31K Views
Napenda kuleta mrejesho hapa jamii forum maana ni sehemu ambayo nilipata wazo la kuanzisha kikundi cha maendeleo. Nilisoma uzi wa mkuu mmoja unaohusu vicoba. Nikavutiwa na namna vicoba...
2 Reactions
15 Replies
9K Views
Umefungua Kampuni kwa mtaji wa 10M kama share capital mfano, baada ya kufanya biashara kwa muda Fulani unataka kuongeza Mtaji ufike 50M. Hizi ni hatua za kisheria za kufuata. 1. Kikao Cha...
2 Reactions
1 Replies
340 Views
Mimi ninatamani kufungua ofisi ya ushonaji, nina cherehani zangu mbili nataka nijue kuna utaratibu gani niufuate ili nisisumbuliwe na either TRA au manispaa. Tafadhali wenye ujuzi na haa masuala...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Habari nduguzangu. Kuna hii mifuko inayotumika kubebea mahitaji mbalimbali ya nyumbani, ambayo rejareja huuzwa 200, 300 na 500. Bei ya jumla inauzwaje? Na je inakaa mingapi? Inapatikana wapi kwa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Ltd: Limited Company ni kampuni ya biashara ambazo zinatenganisha mali binafsi ya mwenye biashara na zile za biashara yenyewe. Sheria zinazohusu Limited companies ni tofauti kati ya nchi na nchi...
7 Reactions
5 Replies
775 Views
Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4...
9 Reactions
88 Replies
9K Views
Leo bei ya hisa moja CRDB ni shilingi 1150 ni muendelezo wa kuporomoka kwa bei za hisa za CRDB kutoka 1900. Najua kuna watu wanajiuliza au wanategemea ishuke zaidi au wanataka kununua saivi...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni jambo la kushangaza na lenye kuibua maswali makubwa kuhusu usawa katika mazingira ya biashara kati ya Tanzania na China. Mfanyabiashara wa China anapokopa katika benki za kibiashara nchini kwao...
4 Reactions
9 Replies
738 Views
Ni biashara Gani naweza kufanya kwenye fukwe za bahari kwa ajili ya kuwauzia wataliii??? Current Location Zanzibar
3 Reactions
16 Replies
1K Views
💡 Hii hapa orodha ya idea 10 za biashara zinazolipa Tanzania (Bongo) — zimetengenezwa kwa kuzingatia hali ya soko, matumizi ya teknolojia, gharama ndogo za kuanza, na uwezo wa kukuza kwa kutumia...
2 Reactions
1 Replies
885 Views
Mteja anapokea fedha kwenye accounts yake fedha zinafika na kusoma lakini mteja hawezi kutoa. Mteja anafanya muamala, m.f, anatuma hela kwenda kwenye mtandao wa simu, ombi linapokelewa na...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom