Siri Iliyojificha kwenye Biashara ya Kuuza Followers – Na Jinsi Watu Wanavyotengeneza pesa nyingi sana kwa kuuza followers.
Hii biashara halali (Inajulikana), isiyo na stress, isiyo na gharama...
Katika moja ya duka kuna binti nilimweka alikuwa na uwezo wake wa kipekee, nilitokea kumkubali sana sio tu kwenye mauzo lakini hata kwenye kujitoa, uaminifu, kunipa ideas, kuweza kuvutia wateja...
Ili Uwe Mtaalamu Wa Kufanya Biashara Mtandaoni Unatakiwa Ufanye Hivi Vitu Viwili Hapa Chini...
•Wekeza Zaidi Kwa Watu(Fanya Matangazo Ya Kulipia)
•Wekeza Kichwani(Jifunze Maarifa Mapya)
Agosti mwaka huu, CRDB ilikuwa trendy sana, market cap ya Tsh trilioni 3.6 na hisa zake ziliuzwa kwa zaidi ya Tsh 1,500. Kila mtu alitaka kuzinunua, akitumaini mambo yatazidi kuwa matamu, lakini...
Habari zenu wana JF.
Naombeni mnisaidie ushauri kwa wale mliowahi kufanya biashara katika minada mbali mbali hasa kwa Dsm mpaka Kibaha.
Nataka kuanza kuzungusha bidhaa kwenye minada je inalipa...
Habari za weekend wanajamvi.
Nipo katika mchakato wa kufungua biashara ya Stationery,nipo mkoani ila nataka kuwa nalangulia Bidhaa Mkoani Dar.
Naombeni mnitajie machimbo nitakayolangua Bidhaa kwa...
Mfanyabiashara ana muacha Mtaalam wa masoko mwenye degree ya marketing, connections, uzoefu, mwenye database ya wateja, n.k. anaenda kwa mganga wa kienyeji wa matunguli ili uweze kupewa dawa au...
4core Power and Machine Company Ltd
Click hyo link hapo chini
Google Search
https://share.google/EPoOgdtbyYJK4S3S5
Tuna deal na Mechanical and Electrical Works.
N Contractor wa Mechanical class...
Huku mtandaoni nmeona kampuni moja wanaitwa m kopa wanakopesha tvs unalipa kidogo kidogo wamesema wapo msavu morogoro karibu na ofisi za halotel nmetuma pesa week Sasa naona kimya je Hawa watu...
Mliofika Mafia. Mafia machoni pa watanzania wengi bado ni giza. Hata mtu ukimwambia ataje wilaya za Pwani angalabu sana kutaja Mafia!!
Kwa hali hii imenipasa kuuliza kama hata lami ipo...
Wakuu habari za weekend,
Kutokana na yanayoendelea kwenye huduma za kibenki naomba kuuliza wenye uzoefu na huduma za NBC, makato yao, huduma kwa wateja na ufanisi wao wa mtandao.
Baada ya...
Unataka kufungua kampuni haraka na kisheria bila kupoteza muda? Sasa unaweza kufanya kila kitu mtandaoni kupitia mfumo wa ORS wa BRELA. Hapa kuna mwongozo rahisi wa hatua kwa hatua:
Ingia kwenye...
Hati ya TIN kutoka TRA
Cheti cha usajili wa kampuni (kama ni kampuni)
Mkataba wa pango (kama umepanga)
Tax Clearance Certificate kutoka TRA
Vyeti vya mamlaka husika kwa huduma za kitaalam (mf...
Nimelima na kupanda miparachichi heka 14 mwaka ndio zimezaa lakini ninapata wasiwasi mana ni vinekuwa vidogo sana kiasi kwamba nahisi haviwezi ingia sokoni, je wataalamu ndio huwa hivi kwa mara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.