Kama ni kwahali hii korosho zetu chukua

Brilliant internationary

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
301
193
Hali ya sintofaha inayoendelea wilaya ya nachingwea ya kuhakiki mikorosho na wauza korosho
Mtu mmoja aliitwa siku ya jumatatu apeleke risiti zake zote alizouzia korosho alipofika ofisi ya mkuu wa wilaya wakabaini korosho zile zilikuwa zake sasa wakabadilisha gia wakamtuma hati za mashamba yake. akawaamelekapeleka hizo hati sasa wamemtuma bwana na bibi waliyo muuzia hayo mashamba kinachosemekana wanaweza kukutuma hata majira wanne kila shamba.
Hapa hoja yangu siyo kupeleka hivyo vitu hoja nijinsi gani huyu mkulima mbaye sasa hiv amecharara kiasi chakutosha atakvyo wasafirisha watu zaidi ya ishirin na nne kwenda kwa mkuu wa wilaya ikiwa nauli nizaidi ya elfu kumi hapo mtu hajala wakati mwingine usafiri umuachele awagalimikie kulala sasa hii kama sikumuumiza mkulima nin? Au kama wanahitaji kudhurumu kwa nguvu waseme wachukue hizo korosho bure.make walipowafikisha wakuli ni hali mbaya na kwanini Nachingwea tu au huku ni nchi nyingine majirani zao Ruangwa haya hayapo sasa kama kweli serikari inataka kumsaidia mkulima iingilie kati swala hili
 
Koroshow
Wahindi wangekuwa wameshatulipa. Sirikali mpaka leo hawajatupa hela

.Kwan ruangwa wamelipwa?
 
Walipotangaza kununua korosho zote kwa bei pendwa mlipiga vigelegele na kutangaza kuunga mkono juhudi, ngoja muisome namba ili siku nyingine mpunguze mihemko. Magu shikilia hapo hapooo.
 
Hali ya sintofaha inayoendelea wilaya ya nachingwea ya kuhakiki mikorosho na wauza korosho
Mtu mmoja aliitwa siku ya jumatatu apeleke risiti zake zote alizouzia korosho alipofika ofisi ya mkuu wa wilaya wakabaini korosho zile zilikuwa zake sasa wakabadilisha gia wakamtuma hati za mashamba yake. akawaamelekapeleka hizo hati sasa wamemtuma bwana na bibi waliyo muuzia hayo mashamba kinachosemekana wanaweza kukutuma hata majira wanne kila shamba.
Hapa hoja yangu siyo kupeleka hivyo vitu hoja nijinsi gani huyu mkulima mbaye sasa hiv amecharara kiasi chakutosha atakvyo wasafirisha watu zaidi ya ishirin na nne kwenda kwa mkuu wa wilaya ikiwa nauli nizaidi ya elfu kumi hapo mtu hajala wakati mwingine usafiri umuachele awagalimikie kulala sasa hii kama sikumuumiza mkulima nin? Au kama wanahitaji kudhurumu kwa nguvu waseme wachukue hizo korosho bure.make walipowafikisha wakuli ni hali mbaya na kwanini Nachingwea tu au huku ni nchi nyingine majirani zao Ruangwa haya hayapo sasa kama kweli serikari inataka kumsaidia mkulima iingilie kati swala hili
Wewe mkulima pia, au hayo unayosema umetumwa na mkulima yupi?
 
Back
Top Bottom