Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

RAM: 3 GB, STORAGE: 64 GB, CAMERA: 13 Megapixel, Battery: 4100 MAH. Location: Dar Bei: 330,000/= Mawasiliano: 0786 737 923 Alikuwa anaitumia shemeji yenu/wifi yenu for two months now (box...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi serikali ilienda kusini kukagua wanaomiliki mashamba ya korosho au walienda kununua korosho Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
915 Views
Wakuu nauza kiwanja kwa ajili ya makzi tayari kimepimwa,kina hati miliki na kimejengwa foundation iliyo na leseni ya ujenzi kutoka kwa mkurugezi wa jiji la dodoma Kiwanja kiko Kikuyu kusini...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu . Kheri ya Christmas na Mwaka Mpya . Kama kichwa cha habari kinavyoeleza kwa wale ambao waliwekeza kwa mwaka 2018. Je uwekezaji gani ulikulipa vizuri na changamoto zipi ulikutana nazo ...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
[emoji121] WAKUU, KUNA ALIYEWAHI KUFANYA BIASHARA YA NGUO ZA MTUMBA HUMU? YAANI KUNA MWANANGU KATOKA ZAKE SINGIDA KAJA DAR KUNUNUA BELO 3 ZA NGUO ZA MTUMBA. AMEFUNGUA YA KWANZA INA KAPTURA...
11 Reactions
120 Replies
23K Views
tunashughulika na uuzaji wa camera zilizotumika Dubai na South Africa ila zinakua ina good condition pia tunauza vifaa vya production (video na picha) kwa bei nafuu...instagram page...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, nimejibana nimepata shilingi 1million mke wangu amenishauri nimemnunulie friji kuanzia laki 5-8 pesa itakayo baki laki 2 afanye kama mtaji wa kuuza barafu, Ice cream na juice. Naomba...
9 Reactions
67 Replies
6K Views
Msaada wadau hadi nataka kununua gari kutoka Japan,naomba Kwa anaejua hadi hii gari inakuwa mkononi inaweza kunigharimu shilingi ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Watu Makini Wanakula Vilivyo Bora Kwa Afya Zao, Wewe Ni Mmoja Wao. Kula Mboga Ya Majani Iliyozalishwa Kwa Viwango Vya Kimataifa, Isiyopoteza Ukijani Wake Hata Baada Ya Kupikwa. Radha Madhubuti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wakuu kama mada inavyojieleza. nilipokuwa chuoni nilianzisha mchezo wa upatu ambapo nilipata member wengi kiasi na nikawagawa katika makundi ya watu 20 20. baada ya kumaliza chuo na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau salaam kwenu Naomba msaada wa namna ya kusajiri hizi taasisi za kijamii. Nfano: Nataka kusajiri Taasisi ya kuhudumia kaya masikini au wajasiriamali wadogo wadogo. Utaratibu uko vipi,na...
0 Reactions
1 Replies
878 Views
Watu Makini Wanakula Vilivyo Bora Kwa Afya Zao, Wewe Ni Mmoja Wao. Kula Mboga Ya Majani Iliyozalishwa Kwa Viwango Vya Kimataifa, Isiyopoteza Ukijani Wake Hata Baada Ya Kupikwa. Radha Madhubuti...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello wana JF... Natumai mnamaliza mwaka vizuri.. Karibu 2019. Mimi leo naomba mnisaidie namna ninavyoweza kupata mfadhili wa kunisaidia kufungua mradi wangu wa Elimu kwa kujenga shule. Nina...
0 Reactions
1 Replies
737 Views
Ngoja nijaribu kutunga jinsi ya kuwa bilionea kwa hii 500. . Nunua tikiti kwenye lori la jumla 500, uza 1500 mpaka 2000 ila nitacheza na 1500. Nunua matikiti mawili 1000 na uuze 1500 jumla 3000...
12 Reactions
61 Replies
6K Views
Kumbuka; Mzee Mengi alikuwa na gazeti linaitwa ALASIRI. Halikuleta faida. Gazeti la Dar Leo vile vile. Ushindani wa magazeti mengine ulikuwa mkali. Wasomaji wakabadilika. Internet zikaingia nk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu wana JF Mim ni kijana ambae nlikuwa napambana na maisha ila hv karibuni nmeweza kupata kazi katika jiji la Arusha Ila hyo kazi inaanza January tarehe 2. Kwa sasa nina omba mkopo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Jinsi ya kulogin kupatana .com Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau nataka ushauri hapa wa kina ,,Nina mtaji hapa kama million 3 nataka niwekeze kwenye huduma za fedha yaani mpesa ,tigo pesa ,airtel money nk sasa je itanitoa kwl na location yangu n maeneo ya...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Mkurugenzi mkuu wa TRA, na Mkurugenzi wa TANROAD, ukisafiri toka Mbeya kuja Dar, au Mwanza kwenda Dar utakuta wafanya biashara wanauza vitunguu, nyanya, etc tena kwa bei kubwa sawa na kariakoo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana Jf habari, Hivi karibuni nimekuwa nikilinganisha bei za maezeko/mabati kati ya nchi mbili tajwa nikabaki na maswali mengi nikaona niwashirikishe huenda mkanisaidia. Ipo hivi, baada ya...
3 Reactions
16 Replies
6K Views
Back
Top Bottom