Meshack Kweka
New Member
- May 24, 2017
- 3
- 2
Habari! Naomba kujua kuhusu Barcode na Tbs kwa Mjasiriamali!
Barcode wanatoa GS1, TBS kama in chakula au dawa pitia tfda kwanza utakuwa na uwezo wakufanya biashara huku unamalizia TBS.Habari! Naomba kujua kuhusu Barcode na Tbs kwa Mjasiriamali!
ASANTE! Na je gharama zikoje ni bidhaa kama sabuni nk! Hasa BarcodeBarcode wanatoa GS1, TBS kama in chakula au dawa pitia tfda kwanza utakuwa na uwezo wakufanya biashara huku unamalizia TBS.