Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ninampango wa kuanzisha biashara ya kuuza vipodozi lakini sna elimu sahihi. Naomba kama kuna anaeweza kunipa elimu anisaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
975 Views
Kama heading inavyojieleza wadau nimetafuta ratiba ya maonesho yote ya biashara hapa Tanzania kwa mwaka 2019 ila nimekosa. sasa naomba msaada wenu kwa mwenye kufahamu anijulishe au nipeni list...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Sehemu ninayofanya kazi tuliwahi kufanya kazi na kampuni fulani ya usafirishaji na utoaji mizigo bandarini, kampuni hii ilikuwa ikiendeshwa kifamilia..yaani unakuta Mmiliki ni babu, Meneja Mkuu ni...
13 Reactions
23 Replies
8K Views
Msaada je online survey ni kitu gani na unawezaje kupata pesa ?? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Mheshimiwa Rais Dr. Pombe Magufuli katika salaam zake za mwaka mpya wa 2019 kwa wananchi, amesisitiza sana suala la amani na uzalendo kama nyenzo muhimu zitakazoliletea mafanikio makubwa taifa...
1 Reactions
1 Replies
918 Views
Wasalaam Wana jf,nahitaji kujua kilimo Cha hizo Nazi fupi Kama zinakomaa au Ni za kuliwa madafu tu ? Na je Ni wapi kwa hapa dar nitapata Miche na bei gani? Natanguliza shukrani Sent using Jamii...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wanajamvi naomba tushirikiane na tupeane ushauri nn cha kufanya mwaka huu: Kwa kifupi mi ni mwajiriwa na mshahara wangu unakaribia mil 2 ila malengo niliyojiwekea ni kama ifuatavyo: 1. Nataka...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana jamvi, Kuna mradi mkubwa wa ujenzi wa magorofa unaendelea Kigamboni. Ni Kigamboni ndandani mbele Zoo na naambiwa unaitwa "Dege Eco Village". Wengi wa wafanyakazi ni wazungu wenye asili...
15 Reactions
194 Replies
67K Views
Habari wana jukwaa. Nimewaza kwa kina nikaona fuksa ni kuuza movie maeneo ya chuo kwakuwa wanafunzi ni wanapenda sana movie. Sijajua kama nipo saivi katika biashara kwa sehemu kama ya chuo...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Habari wanabodi, Mimi ni mfanyakazi sekta binafsi, nimejikusanya na sasa nina kama 1M hivi. Nataka kuifanyia biashara lakini sijui nifanye biashara ipi, maana ama nitafute mtu wa kunifanyia hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana ndugu napenda niwashirikishe wazo langu linalo tatiza ufahamu wangu....ni biashara ndgo ya namna gani naweza fanya kwa mtaji wa makadirio ya laki5 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
1K Views
*SERIKALI KUWAPATIA VITAMBULISHO WAKULIMA* Baada ya Serikali nchini Tanzania kugawa vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo 675,000, sasa inahamia kwa wakulima ambao nao watapatiwa vitambulisho...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MOPAYA MADI Mtaalamu wa kodi aliyeona fursa katika ung’arishaji viatu Na Beda Msimbe NI nadra sana kukutana na mtu ambaye amehitimu fani nyeti ya Usimamizi wa Kodi na Forodha kufanya shughuli...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
TUWAOMBE TRA KUWA NA BIASHARA-DARASA KWA AJILI YA UTAFITI Wadau ni matumani muko salama na mwaka mpya 2019, Ombi langu kwa wadau wa kodi , TRA, Serikali n.k ili kuepuka msuguano uliopo hadi...
1 Reactions
0 Replies
941 Views
Salamu Wakuu Hongereni kwa kuona mwaka mwingine tena Kama kichwa kinavyojieleza hapo Mimi ni mwanafunzi wa A level mkoani arusha kijana mdogo kabisa mawazo yangu yote niliaminishwa ajira...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Kuna Jamaa anataka nimpe mtaji wa pesa kama laki3 anataka kuanzisha kibanda cha kuuza mafuta ya petrol na Oil lkn kila nikiiangalia hiii biashara faida yake ndogo sana Lita moja filling station...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Wakuu, Ukiwekeza 20m kwenye biashara yoyote ile, minimum period ya return inabidi iwe lini? Yani mtaji inabidi urudishe ndani ya muda gani? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
57 Replies
5K Views
Wadau naomba msaada jinsi ya kuanzisha day care inaendeshwaje unapataje faida mimi niko dar es salaam na ni nyingi gani ya kuifanyia marketing Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habaru za jumapili wanajamvi wa biashara na uchumi ... Kama Mara linavyojieleza hapo . . UMASKINI umenichosha UMASKINI umeniibia utu wangu .. Nataka 2019 niwe MTU mpya mwenye maono mapya ...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom