NAMNA YA KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Bavarian8

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
656
1,433
Wadau nataka ushauri hapa wa kina ,,Nina mtaji hapa kama million 3 nataka niwekeze kwenye huduma za fedha yaani mpesa ,tigo pesa ,airtel money nk sasa je itanitoa kwl na location yangu n maeneo ya mwenge pale mpakani nachohitaji ni
1 namna ya kuanza vitu vinavyohitajika
2 faida na hasara kwa mwezi
3 usimamizi n mm mwenyewe hyo haina shaka
Nishauri hapo chini tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitu vnavohtajika ili upate line n TIN namba na leseni unapeleka kwa wakala mkuu wa wilaya yako was mtandao husika
Au ununue kwa MTU hapa tafuta MTU mwamnifu matapeli wengi skuhz
Faida inategemea mzunguko wa wateja ktk biashara yako
Hasara inatikiwa uwe makini ktk kupokea pesa kuna matapeli wanaweza kuja na michezo michafu,uwe makini unapotuma miamala pia vingine wadau wataongezea.
 
Mkuu nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom