msaada wa ushauri wa kusajili mtandao wa upatu

kudath omar

Senior Member
Mar 18, 2018
143
118
habari wakuu

kama mada inavyojieleza.
nilipokuwa chuoni nilianzisha mchezo wa upatu ambapo nilipata member wengi kiasi na nikawagawa katika makundi ya watu 20 20. baada ya kumaliza chuo na kuajiriwa nmeanzisha teena upatu na kwa sasa nina mengi wengi na bado wengine wanahitaji kujisajili.
baada ya mashauriano tukaona tutengeneze mfumo wetu uwe mtandaoni na uwe huru kuijisajili na tutatumia mitandao ya simu kutuma na kupokea pesa.
tulishatengeneza system na sasa tunataka tuisajili katika mamlaka husika. ili ishu iwe rahisi hata kwa mtu alie mbali aweze kujisajili na kutuma pesa yake bila mashaka yeyote..

ujio wangu kwenu naomba mtu anisaidie kwa kitu kama hichi utaratibu wa usajili wake upoje na gharama kiasi gani niziandae na je itachukua mda gani mpaka usajili ukamilike na kwa kuwa tumeshaanza shuguli jpo bila kutumia system ya kielectronic je kuna shida yeyote itatupata kipindi cha usajili.

natanguliza shukurani zangu za dhati kwa wastaarabu wote watakaonijibu majibu ya kujenga na pia nilishawaseheme in advance mafedhuli woote watakaotoa michango ya kifedhuli.
 
Inautofauti mkubwa saana online donation coz yakwangu haitegemei uingize watu ndo wewe upate no haipo hivyo yakwangu
 
Back
Top Bottom