Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,663
kama nikishakuwa na business name halafu nikachukua tin halafu nikaenda manispaa kuchukua leseni ya biashara si nitakuwa tayari na uhalali wa kufanya biashara? au kuna kitu kingine naomba mnipe mawazo. consultancy kwenye mambo ya kibiashara na financial services. kwa mtaalamu anijuze kama kuna zaidi ya hivo vitu ama kuna leseni ya uconsultancy itahitajika.? asanteni