Biashara ya Vilainishi(Lubricants or Engine Oil) Tanzania-Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Hiyo

tzpetrol

Member
Oct 24, 2015
11
15
Unapofikiria ni biashara gani uanzishe. Anza kufikiri biadhaa au huduma ambayo ina uhitaji mkubwa kwa jamii au watu.

Na kama biadhaa au huduma yako ikiwa inauhitaji mkubwa sana. Basi tayari una asilimia kubwa sana ya kwenda kufanya mauzo mengi na kupata faida.

Biashara ya Vilainishi au engine Oil ni moja kati ya bishara ambazo zinauhitaji mkubwa sana. Wanaomiliki magari, pikipiki, wote ni lazima watumie vilainishi tena kila siku. Hata majumbani pia kuna muda tunatumia vilainishi kama grisi na kadhalika. Viwandani, migodini, kwenye shughuli za utafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi wote wanatumia vilainishi.

Je ungependa kuijua biashara hii yenye soko kubwa.Ungependa kuifahamu biashara hii ambayo kwa sasa wawekezaji kutoka marekani na Korea wanaingia Tanzania kwa kasi ya ajabu na bidhaa hizi wakijua kuwa soko la vilainishi limehamia Tanzania.

Bofya linki hapo chini kusoma zaidi

http://tanzaniapetroleum.com/lubricating-oil-a-booming-business-opportunities-in-tanzania/
 
Unapofikiria ni biashara gani uanzishe. Anza kufikiri biadhaa au huduma ambayo ina uhitaji mkubwa kwa jamii au watu.

Na kama biadhaa au huduma yako ikiwa inauhitaji mkubwa sana. Basi tayari una asilimia kubwa sana ya kwenda kufanya mauzo mengi na kupata faida.

Biashara ya Vilainishi au engine Oil ni moja kati ya bishara ambazo zinauhitaji mkubwa sana. Wanaomiliki magari, pikipiki, wote ni lazima watumie vilainishi tena kila siku. Hata majumbani pia kuna muda tunatumia vilainishi kama grisi na kadhalika. Viwandani, migodini, kwenye shughuli za utafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi wote wanatumia vilainishi.

Je ungependa kuijua biashara hii yenye soko kubwa.Ungependa kuifahamu biashara hii ambayo kwa sasa wawekezaji kutoka marekani na Korea wanaingia Tanzania kwa kasi ya ajabu na bidhaa hizi wakijua kuwa soko la vilainishi limehamia Tanzania.

Bofya linki hapo chini kusoma zaidi

Lubricating Oil A booming business opportunities in Tanzania
Link haifunguki, weka nondo mkuu
 
Nondo murua
 
Back
Top Bottom