Habarini wanaJF, naombeni msaada hapo nilikuwa nafanya application ya kusajili jina la biashara ila nilipofika hapo ikaandika hivyo na kila napoclick proceed bado inaaniletea hayo maneno TRY LOAD...
Wakuu habari za jioni, nimepata gari huku Malawi kwa bei ya kutupa ni rahisi nikionanisha na bei za nyumbani Tanzania.
Nataka kuinunua ina namba za usajili za hapa Malawi je itanigharimu kiasi...
Ukiona hiyo System ya Brela ilivyopambwa na kuandikwa vitu vya maana.... Unaweza kufikiria kuwa vilivyomo ndani vina akili sana kumbe Uozo mtupu.
Uncle Magu pitia pale Brela kumbe unatupiwa lawama...
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeanza uhamasishaji wa kuwavutia Wawekezaji watakaosaidia kuwapeleka watalii katika maeneo ya Ukanda wa Ziwa baada ya Serikali hiyo...
Habari zenu wakuu..
Wakuu nisaidieni namna ya kupunguza kodi tra huko maana kwa kodi hii niliyoletea mawiwili either nipate hasara au niususe mzigo bandarini hapo hapo.
Nafahamu huku JF kuna...
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS) umefunga mtambo wa kuchakata asali wilayani Manyoni mkoani Singida.
Akizungumza jana Machi 14,2019 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano TFS Tulizo Kilaga...
Habari wadau,nahitaji kujua vigezo na masharti ya benki zetu kwny huduma hii ya mkopo wa kununua nyumba,kujenga su kumalizia,nimejaribu kugoogle cjapata.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa mmoja alifika sokoni na mchele gunia 180 za kilo mia kila moja.
Akatokea dalali mmoja akaja kama mteja. Wakaanza kupatana bei mpaka ikafika 1700 kwa kilo bei ya jumla.
Dalali akalipa cash...
Nani aliye design kuwa hili crate la mayai liwe la plastic au la material yoyote lakini lazima libebe mayai 30.hii Ni kwa dunia nzima nchi zote hutaona trei lenye mayai 20 au 24 au 40.hiki kipimo...
Wanajamvi poleni na majukumu ya kiTaifa, nataka kufanya ujasiriamali wa biashara ya maturubai kwa ajili ya matukio ya kijamii kama vile msiba, hitma, 40, bridal shower na harusi.. Naomba msaada wa...
Kumekuwepo na mdororo wa bei za mazao kwa wakulima je kuna tatizo gani na Je Bodi za mazao zina msaada gani kwa wakulima kwa upande wa masoko?
Kumekuwapo na malalamiko ya sehemu kubwa wakulima...
Nawafikiria walioweka nyumba zao wakachukua mikopo Benki wakafungua Maduka ya kubadilisha Fedha za kigeni
Nadhani wataangaliwa wasiumie!!
Kwaresma njema
Sent using Jamii Forums mobile app
JIFUNZE KITU APA [emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
The most powerful business in the world (Biashara kubwa kupita zote duniani)
Biashara...
Bando la 500 internet la vodacom kwa kweli linatesa bora usijiunge hata ujibane vipi hzo mb 70 ni kazi sana kumaliza lisaa
Kwa uchumi huu naomba kujua mtandao gan ambao unanafuu kwa sisi wenye...
Husika Na kichwa hapo juu, mimi ni muhitimu chuo kikuu ,nahitaji mshirika anayependa kilimo, niko shamba tayari ,muhoro rufiji pwani, nimefanya upembuzi yakinifu,kulingana na msimu ,nahitaji...
Wakuu,
Nimepata wazo la kipindi cha televisheni ambalo likifanyiwa kazi kinaweza kuwa ni kipindi kizuri sana sssa najiuloza ni mambo gani ya kufuata ili niweze kufanikisha ama kwa kuuza idea au...
Ni siku ya jumamosi asubuhi napigiwa simu na jamaa yangu mmoja akitaka kujua ratiba zangu kwa siku hiyo.namwelekeza. ananambia kama sitojali jioni anipitie niende kumsalimia mjomba wake mgonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.