Kama kijana nimeamua kuja huku ,tupeane ujuzi na ushauri,kuna MTU yuko tayari kunipa mtaji wa biashara,kuanzia 1m kushuka chini,je ungekuwa ndo ww ungefanya bizness IPI yenye mzunguko mzuri wa...
Mmiliki wa makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) MOHAMMED DEWJI katika mtandao wake wa twitter amesema kuwa ameiagiza kampuni yake ya kurecycle chupa nyeusi za mo energy...
Wakuu nimevutika na hii biashara naomba kujua wapi naweza pata baibui safi nzuri kwa jumla bei rahisi ili niprlekr kwetu nikauze nipste chochote kitu mana maisha kushughulika.baibui za mtaani hizi...
Natumaini mko poa,
Niingie kwenye mada me ni mwanafunzi wa elimu ya juu nipo hapa mjini niseme baada ya pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na tangazo la ujasiliamali motion in...
Katika pitapita zangu nilikutana na watu waliojiajiri katika biashara zao tukawa tunabadilishana mawazo,mmoja akasema 'usiku wa manane ndio muda mzuri kwa wafanyabiashara/wenye makampuni...
Nimepita sehemu nikakutana na takwimu zikionyesha Kenya ni nchi ya tatu kwa uzalishaji na Exportation ya zao la Chai Dunia only behind China and Sri Lanka at staggering 1.4 billion US$, nikajaribu...
Za mda huu wadau wa hapa.
Leo nikiwa sehem na baadhi ya watu tunapiga story.mtu mmoja akasema ni kama amesikia tangazo kuwa machinga Mwanza mwisho ni mwezi wa sita maana serikali ina mpango wa...
Wanabodi wik iliyopita kuna jamaa yangu katika Biashara yake Toma January ana hasara ..mpaka mda huu amechanganyikiwa aende tra kwa makadkilio au afunge Biashara... Je kwa wataalam WA tax... Huyu...
Habari ndugu na jamaa!
Nimekuja na ka uzi kadogo haka nikihitaji mawazo yenu.
Nipo sekta ya Afya kikazi,nalipwa vizuri pesa kila mwisho wa mwezi, tatizo baada ya siku mbili tatu sielewi pesa...
Umasikini sio kitu kizuri naimani hakuna anaependa kuwa masikini kila mja anapenda kuwa na maisha mazuri but usikubali kuwa masikini kifikra sababu kuwa hivo ni kujichelewesha katika kufikia...
Na Gaudence Msuya,kilimanjaro
Mkuu wa wilaya ya Hai,mkoa wa kilimanjaro ndg LENGAI OLLE SABAYA, Amerudisha shamba kwa wananchi chini ya bodi ya LYAMUNGO AMCOS,Lilokuwa likimilikiwa na...
Na Gaudence Msuya,kilimanjaro
Mkuu wa wilaya ya Hai,mkoa wa kilimanjaro ndg LENGAI OLLE SABAYA, Amerudisha shamba kwa wananchi chini ya bodi ya LYAMUNGO AMCOS,Lilokuwa likimilikiwa na...
Hakika maisha ni vita. Maisha ni mapambano. Mimi pia nimekuwa nikijaribu huku na huku ili kuinua kipato cha familia.
Kazi ya kwanza
Baada ya kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu, nilitafuta kazi...
Team,
Naomba kufahamishwa ni taratibu zipi za kisheria kwa mujibu sheria za Tanzania zinatakiwa kupitiwa ili kuweza kuagiza (to import) vinywaji kutoka nje ya nchi?
Natanguliza shukurani.
Habari yenu wana JF, Naomba msaada kwa anaeelewa taratibu za kuagiza vinywaji moto na baridi kutoka nje ya nchi. Gharama za ushuru mpakani zipoje kwa vinywaji? TFDA au TBS ni mamlaka ipi inaruhusu...
Cruise terminal ...ni jengo liliojengwa pembezoni mwa bahari lenye uwezo wa kuhudumia cruise ship..hizi cruise ship husafirisha sana watalii kutoka maeneo mbali mbali duniani ..na hutia nanga...
64Door Tanzania is a subsidiary company of 64Door Factory Ltd based in Kenya. The 64Door Factory manufacturing facility located in Nairobi Kenya is truly state of -the- art door solutions service...
Mkurugenzi wa TAHA dada Jaque,
tumeona namna nchi za kiarabu zimefunga milango kwa nchi ya Qatar, na kipindi hiki cha mfungo ni vizuri mkaanza kunegotiate deals ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.