Dar es Salaam Na Zanzibar(Stone Town) .kuna uhaja wa serikali kujenga cruise ship terminal

Tz_one

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,889
7,544
Cruise terminal ...ni jengo liliojengwa pembezoni mwa bahari lenye uwezo wa kuhudumia cruise ship..hizi cruise ship husafirisha sana watalii kutoka maeneo mbali mbali duniani ..na hutia nanga kwenye bandari mbali mbali na watalii hushuka na kwenda kutalii maeneo hayo kisha hurudi na kuendelea na safari..hapa Africa Capetown ..ilijenga cruise terminal yake mpya mwaka 2014 ...hii ilisaiidia sana kuongeza ajira na kukuza utalii .kwa kuwa inakadiriwa kila mtalii hutumia USD 100 akiwa aridhin baada ya kutoka kwenye hizi meli..hizi meli hubeba watu wenye uwezo wa juu wa kifedha ... Hii inamanisha tukijenga cruise terminal tutaweza kuzivutia meli hizi kuja Zanzibar na Dar na kukaa hata siku 3 au 4 na kwa makadirio ya dola 100 kwa siku ina maanisha tunaweza ingiza dola 300 kwa mtalii mmoja ...cruise ship hubeba mpka watalii 3000 ..na mfano wote 3000 wakashuka zanzibar au Dar ,USD300,000 sawa na Billion 1 zinaweza ingizwa nchini kwa cruise ship mmoja ya watu 3000 kutia nanga kwa siku 1 ..Hili ni swala la Serikali na Wizara ya Utalii na Maliasili kuliangalia ...kwan linaweza kutengeneza ajira nying kama vile,Tourist guides,Hotels(ujenzi pamoja na wahudumu , Terminal workers ..pia ajira indirect kwa wauzaji wa chakula

Hizo picha za chini ni mifano ya cruise terminal
Screenshot_20190327-183525.jpg
Screenshot_20190327-183543.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom