Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wana jamvi poleni na majukumu yenu kwa pamoja. Naomba kufahamishwa au kuelekezwa ni mashirika yapi naweza kupeleka business plan yangu na angalau ikafanyiwa kazi kama si kukubaliwa na kupata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Pesa za TZ zinatengenezwa wapi? Na kama zinatengenezwa hapa Tanzania kwa nini tunaomba na kupokea mikopo kutoka taasisi kubwa za kifedha Duniani wakati tuna uwezo wa kutengeneza fedha nyingi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Unajuwa nimesoma thread nyingi humu kuhusu kushuka kwa thaman ya Tsh dhidi ya Usd na wengi kiukweli tunaongea kisiasa zaid pasipo kuangalia mambo mengi ktk soko la dunia. Kwanza. Nivyema...
4 Reactions
13 Replies
4K Views
Business Ideas (Mawazo ya Biashara) Ikumbukwe kwamba jambo lolote huwa linaanzia kwenye wazo. Hivyo hata biashara yoyote unayoiona inaendelea ilianzia kwenye wazo. Niliwahi kuandika hapa JF...
5 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakubwa nafikiria kuanza biashara ya mazao kutoka mbeya kuja dodoma. Nawaza nianze na mchele, maharagwe na viazi vya chipsi. naomba summary ya bei za mazao hayo kwa mikoa ya mbeya na dodoma na...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari za jumapili great thinker Leo tukumbushane kidogo katika maisha ya kawaida maana humu lazima tujadiliane mambo ambayo yana tija katika maisha yetu ya kawaida Leo nataka niwaase vijana...
10 Reactions
47 Replies
7K Views
Je! Umeshawahi kujiuliza ni kiasi gani cha ghalama utazitumia kuanzisha na mapato yake kwa shamba la Miti ya Mipaina/Milingoti. Hapa nimejaribu kufanya tafiti ndogo kwa mkulima mdogo na kupata...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Awali ya yote nitafurahi kama mods watafungia uzi huu kwa sababu kwa namna moja au nyingine umebeba maudhui na utamaduni sio wa nchi hii. Watanzania utamaduni wetu ni kupongezana sio kukosoana...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Nimeona kiatu kizuri online,bei nimeridhia,wasiwasi wangu.ni juu ya kodi za hapa nyumbani,kiatu kinauzwa dollar 60.Wazoefu mnijuze tafadhali,kwa bei hiyo nawezakutozwa kodi zipi na kwa kiasi gani...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Pongezi kwako JPM na waliokupa taarifa na ushauri juu ya hatua za kuchukua. Sarafu yetu inapopoteza thamani ni mzigo kwetu sote. Mwanzoni mwa mwezi wa tatu hali ilikua mbaya sana na shilingi...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Habar ndugu zangu..poleni na pilika..Niko hapa na ishu ya vitunguu maji ivo basi Kama kuna mdau ambae anaeweza kua na mtandao mzur wa wanunuz wa vitunguu naomba tuwasiliane ikiwezekana tufanye...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (MB) ameiagiza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kujipanga kuhudumia shehena ya mzigo wa Malawi kutoka asilimia 20...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nawasalimu. tafadhali mwenye kujua vyema juu ya bima- conprehensive na thirdparty anifafanulie. faida na hasara na maelezo mengine muhimu. na pia hatua zinafuatwa ili kukata bima hizi...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Wakuu kwema? Nianze kwa Ku declare interest ya kuwa mm ni mwalimu by professional,na nikiwa kama mwalimu na mwenyeji wa halmashauri mpya hii ya BUCHOSA yenye makao makuu yake katka mji wa...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari Wakuu, Poleni na majukumu yenu ya kila sku, Niende moja moja kwenye mada. Nahitaji mawazo ya kiwanda gani kidogo kwa Dar naweza anzisha kwa Mtaji wa 20M Natumai nitapata mawazo nkuntu...
1 Reactions
30 Replies
8K Views
Jinsi ya kupata token za kuwa wakala wa kusajili laini ya voda airtel holotel tigo
0 Reactions
12 Replies
18K Views
Naitaji kujua karanga za dodoma zipo katika hali gani juu ya soko lake na bei zake kwa kilo moja? Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Habari za humu wadau. Naomba mawazo ya majina naweza kutumia katika bidhaa zangu na yakasound vizuri. Nataka kuweka kwenye label za Asali, Mafuta ya Kupaka na Sabuni - Herbal.. Naomba product...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
It has been a cry for many asking this company to lower a bit thier fares in order to make them affordable by many. When you meditate the reasons for such higher fares some of them are drinks and...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom