DC Hai arudisha shamba lililokuwa likimilikiwa na KNCU kwa wananchi chini ya bodi ya LYAMUNGO AMCOS

davimsu

Member
Mar 28, 2019
13
4
Na Gaudence Msuya,kilimanjaro





Mkuu wa wilaya ya Hai,mkoa wa kilimanjaro ndg LENGAI OLLE SABAYA, Amerudisha shamba kwa wananchi chini ya bodi ya LYAMUNGO AMCOS,Lilokuwa likimilikiwa na KNCU,kinyume na taratibu za kisheria leo tarehe 26/3/2019 baada ya mkuu wa wilaya hiyo kupokea malalamiko kutoka kwa wanchi na kubaini uhaba wa maeneo ya kufanyia shughuri za kimaendeleo ya wananchi na taifa kwa ujumla,huku kampuni hiyo ikishindwa kuliendeleza eneo hilo.

Naye mwenyekiti wa kijiji cha Lyamungo Kati alimpongeza mkuu wa wilaya kwa kumaliza mgogoro huo uliodumu kwa takribani miaka 11,huku wakipita wakuu wa wilaya wengi na kushindwa kuutatua mgogoro huo.




Wanne kuelekea kulia ndiye mkuu wa wilaya ya hai

IMG_20190328_095906.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom