Uagizaji wa vinywaji (hard & soft drinks) kutoka nje ya nchi

Click Hapa

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
479
206
Team,
Naomba kufahamishwa ni taratibu zipi za kisheria kwa mujibu sheria za Tanzania zinatakiwa kupitiwa ili kuweza kuagiza (to import) vinywaji kutoka nje ya nchi?
Natanguliza shukurani.
 
Wanaotoa South Africa wanapakia tu kwenye malori Kisha wakifika Tunduma au Kasumulu wanamalizana na TFDA, TBS na TRA. Huko vinakotoka wanapewa documents za ubora kabisa (certificates).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom