Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wanajamvi habari za jioni Ni karibu mwaka sasa tangu BRELA wahamishe mfumo toka wa manual kwenda kwenye mtandao sasa sisi tunaotoa huduma kwenye mambo haya ninataka kuchangia kidogo kwenye jamii...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Greetings! Leo nataka nikupe darasa muhimu kabisa jinsi unavyoweza kutengeneza digital product zako binafsi na kuanza kuuza mtandaoni mara moja. Hili darasa ni muhimu kwasababu watu wengi wapo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
We feel obligated to help Tanzania businesses to find overseas partners, we understand the scam catastrophe when dealing with overseas companies and that is why we have a plan to stop it from...
0 Reactions
3 Replies
957 Views
Miaka michache iliyopita tumeshuhudia ugunduzi mbali mbali wa maliasili ukifanyika katika nchi za afrika mashariki mfano Gesi asilia tanzania,Mafuta Gafi uganda Madin mbalimbali n.k sisi gesi yetu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salamu wakuu, kama mada inavyo jieleza hapojuu. Ninampango wa kuanzisha duka dogo la pembejeo za kilimo kwa ujumla(kilimo na mifugo). Lengo la kuibuka hapa juukwani naomba kufahamishwa ",wapi kati...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, Hapo awali nilijiapiza kua nataka kuja kua mmoja wa wafanyabiashara mashuhuri katika jamii yangu husika lakin mpaka sasa nashindwa kufanya maamuzi sahihi ni...
0 Reactions
2 Replies
892 Views
Closed
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wadau naomba msaada wa kujua mambo mawili. 1. Nahitaji mashine crusher jee kwa hapa bongo zinapatikana na ni bei gani? 2.ikiwa nitaagiza kutoka nje niliyoiona imeandikwa $2000-7000$...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni kujua gharama za vyumba/nyumba za kupangisha, Naomba nijuzwe ni wapi kati ya Dar es salaam au Dodoma kuna gharama kubwa za kupangisha Kwa kuangalia ubora wa nyumba husika,kama ikiwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari ya muda huu wakuu, Ni jumatatu nyingine ya kuanza pirika pirika ya kutafuta riziki ili kupambana na maisha bila kuchoka. Niende kwenye mada husika bila kupoteza muda, hapa home kuna Canter...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nina kamtaji 20,000,000 je naweza kwenda kufunga mzigo wa urembo China na nikapata faida? Msaada wenu wazoefu.
1 Reactions
20 Replies
16K Views
Nduguzangu nilikua nauliza kuhusu kufanya biashara china,kuanzia naul ya kwenda na kiasi cha mtaji na maisha kule yakoje,na je ajira ndogondogo kule zipo,asanteni?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1.Usisubiri ruksa wala kibali Acha kuwa kama wanariadha au wacheza soka kusubiri kipenga(filimbi) ilie ndipo uanze kucheza mechi. Watu wengi linapokuja suala la kutimiza ndoto zao hawana tofauti...
7 Reactions
7 Replies
3K Views
Rafiki Asali ni wajasiliamali wenye elimu ya Ufugaji Nyuki na bidhaa zake. Kazi wanazo zifanya: 1) Tunauza mazao ya Nyuki kama asali na nta. 2) Tunatoa elimu ya ufugaji Nyuki na mazao ya kupanda...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauliza hivi,kwa nini watu wenye kipato cha mawazo/duni/masikini ndiyo wanaongoza kwa matumizi mabaya ya pesa? Mfano mtu kakopa halafu anafanya sherehe za hapa na pale,vibesidei mara...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari wapendwa. Nahitaji kufahamu gharama za kuchimba kisima huku Dodoma maeneo ya Hombolo. Natanguliza shukran. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi Tanzania tuna viwanda vya kuzalisha karatasi kama vile A4 copy paper ?? kama vipo viko mikoa gani wadau
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Iwapo chaza wangekuwa wanakuzwa na kuvunwa lulu kama ilivyo katika nchi nyingine ni wazi mapambo ya plastiki kutoka China yasingekuwa na nafasi na wananchi wangetengeneza ajira na mapato ya...
4 Reactions
30 Replies
17K Views
Nimekuwa nikijiuliza kama tshs 600 B zinaingia kwenye mzunguko kama mishahara ya watumishi wa serikali kila mwezi mbona hazionekani? jibu nimegundua inawezekana sehemu kubwa ya 600B inaenda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninataka kuanzisha biashara ya kuuza cosmetics kwa jumla. Je importers wa bidhaa hizo ni akina nani ili niweze kununua kutoka kwao?
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Back
Top Bottom