Soko la vitunguu maji

alfa A

New Member
Mar 28, 2019
1
0
Habar ndugu zangu..poleni na pilika..Niko hapa na ishu ya vitunguu maji ivo basi Kama kuna mdau ambae anaeweza kua na mtandao mzur wa wanunuz wa vitunguu naomba tuwasiliane ikiwezekana tufanye kazi..Nina Zaid ya guni 500 za vitunguu
IMG-20190330-WA0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alpha! Hapa kuna mtu kulizwa asee!!
Una gunia zaidi ya mia 5 na hujui soko lake!!?
Huko uliko hakuna soko kuu?
Mpka ufikishe gunia zaid ya hizo ni lazima utakuwa mkongwe kwenye vitunguu!
Haya wasubiri wanakuja pm ili mfanye biziness

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom