Punguzo la bei ya bia jana tarehe 24 Machi, 2019 faida kwa wanywaji (washangiliaji) au faida kwa wamiliki wa bar (Marketing strategy)!

lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,995
2,245
Awali ya yote nitafurahi kama mods watafungia uzi huu kwa sababu kwa namna moja au nyingine umebeba maudhui na utamaduni sio wa nchi hii. Watanzania utamaduni wetu ni kupongezana sio kukosoana!

Kwanza kwa heshima na tahadhima namwomba mkuu P. anisaidie kufanya rejea duniani kama kuna kiongozi aliwahi kutoa ofa ya watu wake kunywa bia bure au kwa nusu bei kama njia ya kuelezea Furaha waliyokuwa nayo!

Pili, naomba niulize kwanini bia??? Je, masikini aliyekuwa anashangilia mle uwanjani kwa nguvu zote amesaidiwaje kwa kuuziwa bia nusu bei au hata angepewa bure, ikumbukwe bia ni pombe kama ilivyopombe nyingine za kienyeji!

Mwisho ni hoji nani amefaidika na punguzo la bei ya bia alilotoa offer mkuu wa mkoa wa dar,. Je ni mshangiliaji masikini (mnywaji au mlevi) au wafanyabiashara kuuza bia nyingi Sikh ya Jana.
 
Alitaja vinywaji hakuwa specific
 
Back
Top Bottom