Wachumi naombeni msaada katika hili.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,042
10,463
Pesa za TZ zinatengenezwa wapi? Na kama zinatengenezwa hapa Tanzania kwa nini tunaomba na kupokea mikopo kutoka taasisi kubwa za kifedha Duniani wakati tuna uwezo wa kutengeneza fedha nyingi zitakazoweza kututosheleza kama taifa?
 
Pesa hazitengenezwi Tanzania, na pia kuzitengeneza ni gharama Pia.
Tunaweza kuamua kuwapa tender hao watengenezaji kuzitengeneza nyingi ila zikiwa plenty available zitashuka thamani (refer msimu wa mavuno wa zao lolote bei yake hua chini). Zikishuka thamani bei itapanda.

Sasa kwanin tunapokea Mkopo badala ya kuprint za kwetu ni kua Mikopo means tunatengeneza temporary excess of money in circulation kwamba tukija kuzirudisha huko kwao excess inapungua, badala ya ku print zetu ambazo ni Permanent excess that will lead into inflation.
 
Back
Top Bottom