HABARI NJEMA KWA WAKULIMA
Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao.
Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kisemavyo naomba ushauri kutoka kwa wajasiliamali/wafanyabiashara wanaoingiza mizigo kutoka Thailand kuja Tanzania, Ni kampuni gani nzuri kwa kusafirisha...
Tunaiomba serikali kwa mapana na mrefu…maamuzi yoyote yatakayochukuliwa yatizame madhara kwa short term na long term.
Kabla ya kufanya chochote kile lazima kiangalie je utatuzi huu hautaibua...
Wakuu mnaonaje biashara ya namna hii, kua Mimi Nina kiwanja sehem potential ila sababu ya kukosa fedha za kujenga, je ukiingia partnership na mtu ambaye ana fedha ambaye ataweza kujenga kitu kama...
Habari zenu wakuu, nimezamilia kufungua lounge mafia, muziki mzito, vinywaji vyote, chakula, na michezo mbalimbali, kwa njee bonge moja la car wash, hapo vipi wakuu au tutachezea za uso?
King La Jr
Usimuoneshe mteja wewe ni tajiri, usimuoneshe umejipata. Siku zote muoneshe unahitaji hiyo ela yake kuliko oxygen. Usimuoneshe Mteja umejipata
Hata kama kwa siku unafunga hesabu ya milion kadhaa...
Last week nilipita pale nikapata zangu Samaki na Mihogo swaaaafi kabisa. Hio ni baada ya kuona matangazo mbali mbali instagram kuhusu Aslay Mihogo
Vijana kuweni wabunifu, huyu anakuchanganyia...
Habari gani wakuu?
Leo nimeanza rasmi kuwekeza kwenye M-Wekeza ya Vodacom ambayo inaestmet faida ya takribani 13% kwa mwaka na nimepanga kutenga kila 10% ya pesa yyte itakayoingia kwenye Mpesa...
KUNA FAIDA GANI YA KUWEKEZA MTAJI MKUBWA KWENYE BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI?
⚙Watu wengi wamekua wakijiuliza swali hili, kwanini nisiwekeza kiasi kidogo kama inawezekana kijiendeshe hakafu kiasi...
BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI, UZOEFU, MAHITAJI NA MIHEMKO YA JAMIII.
Habari ndugu msomaji,
Siku za karibuni kumekua na muamko mkubwa sana watu wengi wakivutiwa sana na biashara biashara ya spea...
Hapa dukani kwetu tuna binti mmoja ambaye mwaka jana alipata ujauzito. Ulipofika muda wa kujifungua tulimpa likizo ya miezi 3 ambapo pia tuliendelea kumlipa. Mwezi huu wa kwanza tarehe 1 alirudi...
nchi nyingi hasa za Ulaya ambazo zimekuwa wafadhili wakuu—zimeripotiwa kusitisha au kupunguza misaada kwa Tanzania.
Na tukubaliane, misaada hii ingawa si haki ya kudumu, imekuwa chanzo muhimu...
Habari,
Naandika haya kutokana na mwenendo mbaya wa serikali ya Tanzania kukataa ama kugomea kusikiliza nini haswa walipa kodi wake nini hasa wanataka
Kama walipa kodi ndio waendesha nchi walipa...
Kutafuta ajira kunaweza kuwa jambo la kuchosha na kukatisha tamaa. Lakini inawezekana kabisa kujiajiri mwenyewe kwa kuanzisha biashara ndogo yenye mtaji wa chini.
Kwa mtaji wa chini ya TZS...
Habari wapendwa,
Kwa majina naitwa EMMANUEL NESTORY SAGINI, ni mzaliwa wa songea manispaa pia ni muhitimu wa elimu ya ufundi stadi katika fani ya umeme wa majumba na viwanda, ngazi ya tatu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.