Jinsi ya kupata friji za pepsi

msemakweli2

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
1,627
1,880
Salaaam ndugu,

Naomba mwenye kufahamu jinsi ya kupata hizi friji za PEPSI anijulishe wadau, nina duka langu natamani nipate zile friji za pepsi kwaajili ya kuuzia soda wakuu.
 
Nenda kiwandani kwao au sehemu wanapouza vinywaji vya pepsi kwa bei ya jumla hapo utapata msaada. Huwa wanayatoa bure kwa masharti
 
Nasikia mafriji yanatoka bure ila kwa masharti ila had uende uko kuwa dance kunafom unajaza ila nilisikia had ununue kret kumi
 
Salaaam ndugu,

Naomba mwenye kufahamu jinsi ya kupata hizi friji za PEPSI anijulishe wadau, nina duka langu natamani nipate zile friji za pepsi kwaajili ya kuuzia soda wakuu.
Vipi unapatikana mkoa gani mkuu
 
Utanunua kret kumi kwenye gari lao yani fasta unapewa na uwe sehemu ambayo kweli zinauzika yani kwa Wiki ata tano zinakwisha, ukiwa unasukuma mzigo sana unapewa la two doors.
Ila yanakoboa sana umeme ndugu yangu hasa yenye nembo ya Galactica, bora haya ya Everest, ninalo galactica nawasha kwa masaa
ahsante kwa angalizo mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom