Naomba msaada kwa wanaofanya biashara za nguo kutoka nje

kluger

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,093
1,894
Habari zenu wadau.

Hapa jijini kumekuwa na maduka mengi sana ya mavazi yenye ubora wa juu, kati na za kawaida sana.

Wengi wa wamiliki wanasafiri ama kuagiza toka nchi za china, Korea, hata uturuki na kwingineko.

Lakini pia wapo watu binafsi tunaoagiza wenyewe mtandaoni/online toka, China kwa njia za AliExpress.

Sasa kwa uzi huu naomba wale wanaoagiza nguo na viatu vyenye ubora wa kati au hata juu kwa matumizi binafsi, mnipatie website au link bora kabisa za kuagiza Pamba kali, maana hapo nyumbani wengi zinafanana mno kiasi kwamba nahisi ni muhimu kuagiza mwenyewe na kuwa tofauti.
Najua pia kuna Amazon au eBay etc.

Wakuu wazee wa accessories zenye akili, pamba na miguu ya maana toka nje, tupeane maujanja, TUPENDEZE WOTE JAMANI.

AHSANTE SANA.
 
Wakuu wazee wa accessories zenye akili, pamba na miguu ya maana toka nje, tupeane maujanja, TUPENDEZE WOTE JAMANI
Anzia hapa: https://bit.ly/2TpzaCS
1565674271397.png
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom