Fahari Investment: Changamkia fursa kwa shilingi 3000 tu

thomas_360

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
1,459
1,428
Habari wandugu najua kutakuwa na watu ambao wataongelea vibaya hili swala na kuwakatisha tamaa watu...lakini yote hiyo nimeshajiandaa kuyapokea Ila muhimu nachotaka nikuwafikishia ujumbe watanzania wenzangu ambao wanahangaika kutafuta fursa za kujikwamua kiuchumi.....soma hapa chini

*FAHARI INVESTMENT LIMITED*
Ni kampuni iliyo sajiliwa Tanzania ikishughulika na ushauri wa biashara ,masoko,uwekezaji, uwekezaji mitandaoni.

Tumeweza kuanzisha mfumo WA Fahari community ambao umelenga kuwaunganisha waafrica wote popote walipo,

FAHARI INVESTMENT
kupitia
Fahari community
Inamiradi
Mbali mbali ambayo imekwisha anzishwa kama,
Fahari cash coin
Faharichamp
Pia tunategemea
Kuwa na miradi mikubwa mengine ambayo ni

Fahari pesa na Fahari microfinance,
Na mradi wa
kilimo online.

Tahadhari tunahitaji watu serious katika group kuhusiana na mradi huu.
[6/24, 6:00 PM] Fahari Community The Way: Mnaweza tumia link hii kupata sponser

Community The Way: *Jinsi ya kujiunga na faharichamp*

*Jaza Form ya faharichamp*

*Wekeza Pesa, katika kuwekeza uta amua kuwekeza kwa kufungua Account 1 , 3 na vifurushi tofauti au zaidi ya fahari champ*

*Washirikishe wengine wajiunge chini yako ili upande Stages halikadhalika nawao baada ya kujiunga wawashirikishe wengine vilevile ili wapande stages*

*Kila Account ina funguliwa kwa gharama tofauti gharama Ya chini Tshs 3000 gharama ya juu tsh 200,000Kwa mantiki hiyo:-*

*Account1 kifurushi booster ni Tsh3000*

*jumla ya zawadi Tsh 6,144,000*

*Account2 kifurushi express ni Tsh 5000*

*jumla ya zawadi Tsh 4m10,240,000*

*Account3 kifurushi startup ni Tsh 10000*

*jumla ya zawadi Tsh 20,480,000*

*Account kifurushi4 gold Tsh 20000*

*jumla ya zawadi Tsh 40,960,000*

*Account 5 Platinum kifurushi Tsh 50000*

*jumla ya zawadi Tsh 102,400,000*

*Account6 diamond kifurushiTsh 100,000*

*jumla Ya tsh204,800,000*

*Account 7 VIP kifurushiTsh 200,000*

*jumla ya zawadi Tsh 409,600,000*

*Kadiri unavyo wekeza kwa kufungua Accounts nyingi Upendavyo Kwani Account nying znakutngenezea Kipato kingi Na Zawadi nyingi Pia ndivyo unavyo zidi kupanda Stages haraka*.

KAMA UTAKUWA NA MASWALI UNAWEZA KUULIZA TAFADHALI KWA WALE WENYE MANENO YA KUKASHIFU NA KUKATISHA WATU TAMAA MUISHIE KUSOMA NA KUSEPA...HAPA DUNIANI KILA MMOJA AMEPANGIWA NAMNA YA KUPATA RIZIKI YAKE SO TUHESHIMIANE....
 
Mkuu hii ni kama unavyosikia hawa forever, na makampuni mengine Ila huku hakuna kununua bidhaa Ila unafaidika pale unapowashirikisha wenzako kiingilio ni kuanzia sh. 3000 ukishatoa hiyo basi hakuna charge zingine
sasa najikwamua vipi wakani hizo A/C kufumguliwa zinahitaji pesa au mimi ndiyo fursa yenu?
 
There is no shortcut to success

wanakuja soon
 
Hii kitu sio lazima uanze na kiingilio cha sh. 3000 ukisoma vizur hapo utaona kuna viingilio tofauti tofauti, ni kwa sababu kama umeamua kujiunga kwa kifurushi cha sh. 3000 basi hata hao utakaowaunga watakuwa wanajiunga kwa sh. 3000 natumia kiwango cha chini zaidi nikilenga maisha halisi ya watanzania wengi kwani hawana kipato kikubwa Ila kama MTU unachannel za watu ambao unajua wanaweza kujiunga kwa vifurushi vikubwa haina shida unajiunga tu.....
Halafu nyie mnaosema hii kitu ni ujinga kuliko kubeti mnakosea betting unarisk pesa ambayo unajua unaweza ukala au ukaliwa hapa tunafanya investment ambayo ukishaweka pesa Mara moja unategemea kupata faida kwa kipindi Fulani na hii utaona inafaida haraka kama utakuwa na channel ya watu wengi....

Changamoto ya hizi biashara ni kwamba unamtegemea MTU ajiunge then ndo ulipwe lakini sidhani kama ni jambo jema kusema kuwa hii kitu ni ya utapeli....kuna system ambazo ni zakimatapeli lakini sio hii
 
Vyeti vya usajili hivi hapa
Screenshot_2019-08-12-20-25-29.jpeg
Screenshot_2019-08-12-20-25-23.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_2019-08-12-20-25-23.jpeg
    Screenshot_2019-08-12-20-25-23.jpeg
    50.3 KB · Views: 14
Kama tukiondoa ujinga kwenye fikra zetu na tukashikamana hizi malalamiko ya kuhusu kuajiriwa zingepungua kwa kweli....

Anyway kama kutakuwa na mwenye interest Fanya kuni PM
 
Hutu akamatwe afungwe tu. Mashtaka yako mengi.
Atakuwa hana leseni ya benki kuu, leseni ya mambo ya betting, leseni ya biashara, hajalipa mapato, michango ya wafanyakazi kwenye makato ya mishahara yao nk.
 
YALE YALE YA ITA MMOJA AITE MWINGINE AITE WENGINE

UKIONA UNAITWA KWENYE FURSA JUA WEWE NDIO FURSA
JAMAA KAJIZUNGUSHAA KUTAJA VITU KIBAO MARA KILIMO,MARA MIRADI MWISHO WA SIKU KAANGUKIA KULE KULE KWENYE MICHEZO YA UPATU.
ILISHAFANYIKA SANA HYO MICHEZO MIAKA HIYO KITAMBO.
KUNA VIKAMPUNI VINGI SANA VILIANZISHWA LKN LEO HII VIMEPOTELEA HEWANI.
MOJAWAPO ILIKUWA INAITWA ELNET AFRICA.
 
Mkuu hii ni kama unavyosikia hawa forever, na makampuni mengine Ila huku hakuna kununua bidhaa Ila unafaidika pale unapowashirikisha wenzako kiingilio ni kuanzia sh. 3000 ukishatoa hiyo basi hakuna charge zingine
Kama hyo ni fursa kwa Nini wewe usigawe pesa kuwapa badala ya wao kutoa pesa?
 
Back
Top Bottom