Niulize chochote kuhusiana na biashara, masoko na mauzo

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Habari wana JF,

Kichwa cha habari kinajielezea,

Huu ni uzi wa kipekee unaohusu maswala yote yahusuyo biashara, masoko na mauzo, kwa hiyo kama utakuwa una kitu chochote unahitaji kufahamu juu ya vitu nilivyotaja hapo juu usisite kuuliza maana mimi au mtu yeyote atakaye fahamu atakupa majibu yanayohitajika.

Karibuni sana
 
Mm nipo dar kigmbn mtaji ninao nimepanga kufungu duka la jumla la kuuza sigara tu aina zote sasa mwenye uelewa kuhusu sehemu ya kwenda kununulia kama ni kiwandani au kuna wakala nahitaji kujua utaratibu wa sehemu ya kupata mzigo kwa jumla na mm nitakua nauza jumla na leja leja . Nawasilisha kwenu wadau mnisaidie anayefahamu zaidi asanteni
 
Kwa sigara tafadhali nenda kanunue kiwandani TCC wana mfumo wao wa kusajili wafanyabiashara kutokana na maeneo. Nakutafutia namba za simu za manager wa wilaya ya kinondoni atakusaidia. Tukumbushane Ila nikiipata sasa hv nakutumia
 
mimi nahitaji kuwa wakala wa maxmalipo..naomba kuelekezwa juu ya upatikanaji wa izo machine...na ufanyaji wake wa kazi...vp juu ya faida zakeee...je napata faida juu ya hasara zake je iko vp
kwa mimi nnavyo fahamu njia rahisi ya kupata hizi mashine ni vizuri ukaenda makao makuu yao pale Makumbusho ukajisajili then unawapewa sijajuwa kwa sasa hivi ni shillingi ngapi nakuhusu faida utaipata kwa kupitia commision based na kuongezeka kwa faida au kupata hasara itatokana na transaction utakazokuwa unafanya ukifanya transaction nyingi faida itakuwa juu ukifanya transaction chache faida itakuwa ndogo
 
Boss mambo vipi! Binafsi mm ni muuzaji wa Nguo hapa jijini mwanza, mtaji Wangu n 2.5 mil so nahitaji niwe nanunua jumlajumla Na niwe nauza jumlajumla pia, kwani mwez ujao natarajia kuongeza km 3mil ivi ili mtaji ufike 5.5ml je, kwa DSM nitapata wapi maduka ya Nguo za kike yanayouza Nguo za jumlajumla ! Km utapendezewa naomba namba pia boss
 
Mkuu naomba kujua soko la zao la Pilipili liko vipi na wapi?
 
Mkuu ningependa kujua zaid juu ya biashara ya Microfinance soko na changamoto zake na pia faida au hasara zake
soko liko wazi na ni kubwa sana sana changamoto kubwa WATU HAWALIPI aidha jamii yetu hawana utamaduni wa kulipa na mfumo woote wa kusaidia kupata haki yako ni DHAIFU SANA RUSHWA , KUPOTEZA MUDA n.k labda na wewe uamue kuwa KIBAKA/JAMBAZI kwa kudai pesa zako LKN baadae itakughalimu utageuziwa kibao wewe ZURUMATI
 
Natamani sana kufanya biashara ya dagaa kamba(prawns), nahitaji kujua mtaji wa kuanzia, wapi nitawapata na wapi nitawauza.

Naomba majibu yenye uhakika maana sijawahi fanya hiyo biashara.
 
Habari wana JF,

Kichwa cha habari kinajielezea,

Huu ni uzi wa kipekee unaohusu maswala yote yahusuyo biashara, masoko na mauzo, kwa hiyo kama utakuwa una kitu chochote unahitaji kufahamu juu ya vitu nilivyotaja hapo juu usisite kuuliza maana mimi au mtu yeyote atakaye fahamu atakupa majibu yanayohitajika.

Karibuni sana
Habari ndugu, naomba unifahamishe kuhusu biashara ya ngombe hasa hawa....
pic+ngombe.jpg
je minada yake inapatikana wapi? na gharama ya minadani ikoje.na sokoni ukipeleka bei inasemaje. thanks
 
Back
Top Bottom