Achana na zile nyuzi zangu kuhusu watoto wa kike na kua na tamaa, wacha nishushe wasifu wangu.
Mimi ni kijana ambaye taeheer 04/07 nilitimiza miaka 22, yaani bado damu inachemka, naishi kwa ndugu...
Vijana Mkoa wa Ruvuma wamefurahia fursa ya mafunzo ya ujasiriamali na usimamaizi wa biashara yaliyotolewa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) kwa kushirikiana na Ofisi ya...
Nawasalimu kwa salamu ya kihandisi, expansion joint wadau!
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka,Nchi yetu ya Tanzania kwa sasa ni kati ya nchi zenye idadi kubwa ya watu na yenye ongezeko la kasi...
Habari ya muda huu wapendwa. Naomba msaada kuhusu kufanya top up ya mkopo crdb. Huwa inaruhusiwa muda gani baada ya kupata mkopo wa kwanza?;msaada wenu please. Mimi ni mtumishi wa umma
Habari wadau
Nna mpango wa kufanya biashara ya vyombo vya mtumba,nalenga kuchukua bidhaa kutoka Zanzibar,naomba many connection au hata ushauri kwa mwenye uzoefu na biashara husika,asanteni.
Wakuu natumai muwazima wa afya.
*Mimi ni muhitimu wa mafunzo ya ualimu ngazi ya "diploma" katika masomo ya physics & biology,,,
*Nimependa ku- share nanyi uzi huu kwa malengo makuu mawili.
1.Kwa...
Habari wakuu!
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, ipo mijadala na humu Kuna baadhi ya uzi zimegusia juu ya ubora na bei ya bidhaa zinazotengenezwa Tanzania Kama chanzo Cha watanzania wengi...
Habari za mchana wakuu...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,,naomba nipate ushauri wenu kuhusu hili suala..
Nimemfungulia wife biashara ya vinywaji(soft drinks) kwa mtaji wa Tsh...
Habari Wakuu?
Kuna anaye ijua hii kampuni ya kutengeneza bidhaa za plastiki inayoitwa Mbope? Nimepata tenda ya kusupply hizi bidhaa, nahitaji kuingia nao mkataba.
Nimeenda kwenye kiwanda kimoja...
Wakuu, kila dakika utasikia bidhaa za Kichina feki Mara mbovu.hivi ni kweli Wachina uwezo wao ni mdogo kiasi hicho? Mbona wana uwezo mkubwa kiuchumi, kiteknolojia na kiuulinzi?
Kwa mara ya Akwanza nimejaribu kufanya biashara serious. Aisee yapata mwezi sasa ila sijawahi ona faida.
Nimeamini ukiona mtu amefanikiwa kwenye biashara mheshimu sana.
Zaidi ya watalii 30,000 kutoka China hutembelea Tanzania kila mwaka huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka baada ya Shirika la Ndege nchini (ATCL) kuzindua safari zake kwenda Guangzhou, China...
Heshima yenu wakuu.
Nije moja kwa moja katika kusudi.
Ninaomba ushauri driving licence yangu imefikia ukomo tarehe ya jana 31/07/2019. Nilikuwa sina habari hadi leo hii nilipoikagua na kugundua...
habari wakuu, naomba kujua bank gani ambayo ina huduma ya ku finance lpo kwa kampun? yani nikipata LPO ya kutoa huduma fulan bank gank ambayo ina huduma ya kutoa kiasi flan cha pesa hata 70% ya...
Kwa mtu ambaye yupo tayari kudaka fursa hii ya kuwekeza kwenye sekta ya madini especially Dhahabu kwa njia ya kuchenjua kwa kutumia njia ya Plat
Mimi nitampa mwongozo wa kazi na upatikanaji wa...
Naomba kujuzwa, hivi yapo maduka binafsi ya kubadilisha fedha yanayofanya kazi au ndio basi tena, biashara wameachiwa mabenki? Maana huku niliko "bureau de change" niliyozoea kuiona ilifungwa kwa...
Salaaam ndugu,
Naomba mwenye kufahamu jinsi ya kupata hizi friji za PEPSI anijulishe wadau, nina duka langu natamani nipate zile friji za pepsi kwaajili ya kuuzia soda wakuu.