Nyie wasouth naomba mnitumie smart watch yangu

Dannis

JF-Expert Member
Jan 21, 2016
1,580
1,622
Mzuqa,

Miezi miwili iliyopita nilinunua smart watch kutoka Aliexpress na kusafirishwa na hawa Malaysia Post, baada ya siku 15 saa yangu ilifika South Africa sasa kila niki-track naona bado imekwama S.A nimejaribu kuongea na seller anasema niwe na subira mpk siku ya mwisho.

Mimi kama msukuma.com nasema hivi sidaiwi na South Africa na wala sijawahi kutaifisha mali ya msouth Africa yeyote.


Smart Watch yangu haina uhusiano na ATCL hivyo basi chonde chonde nyie wasouth nataka saa yangu haraka iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom