Habarini wadau, naomba kuifahamu vizuri biashara ya rasta

CHIBE BOYS

Member
Apr 20, 2019
91
118
Habarini wadau,naomba kuifahamu vizuri biashara ya rasta.
Nataka kufungua duka la reja reja,mtaji laki 5

Pia nafikiria biashara ya mabegi ya wanafunzi

NAOMBA USHAURI KWA MNAOZIFAHAMU NA KUZIFANYA HIZI BIASHARA NIFANYE IPI KATI YA HIZO 2
 
Nakushauri kwa akili yangu ndogo tu fanya utafiti wa hapo uliko kama hao costume wako kama hio bithaa yako wanahiitaji.
Pili usijaze ma rasta peke yaje dukani mix na mambo mengine maana siku demand ya hizo rast ikishuka lazima stock ikukabe dukani.
Ni hayo tu machache ila tambua hesabu za kwenye karatasi sio sawa na real
 
Back
Top Bottom